Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni: Njia Mbadala Za Matibabu Ya Kisasa
By Owen Jones
()
About this ebook
Ninatumai ya kwamba utayaona maarifa yaliyomo kuwa ya manufaa. Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii, zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia. Hata hivyo, pamekuwa na ufufuo wa hamu ya kujua matibabu ya kale, mara nyingi inayojulikana kama tiba za kitamaduni, tiba mbadala au tiba ya asili. Kuna sababu nyingi za jambo hili. Baadhi yake yaweza kuwa kupotea kwa uaminifu wa mfumo ulioko na kutoamini watangazaji; bei ya juu ya madawa ya kisasa; ugumu ambao unaongezeka wa kuweza kutembelea daktari; athari zinayotokana na nguvu ya madawa ya kemikali; na pia kuongezeka kwa hamu ya kurudi kwa maisha isiotegemea kemikali sana. Bila kujali sababu yako ya kupendezwa na mada hii, natumaini ya kwamba utafurahia kijitabu hiki. Maandishi ya kitabu hiki cha mtandao kuhusu namna mbalimbali za tiba za kinyumbani za kitamaduni na mawazo hanayohusiana, kimepangwa kwa sura 19 za takriban maneno 500-600 kila sura.
Owen Jones
Megan und der Einbrecher Ein Spirit Guide, ein Tigergeist und eine beängstigende Mutter Autor Owen Jones aus Barry in Südwales hat erst vor vergleichsweiser kurzer Zeit angefangen, Bücher zu schreiben, auch wenn er schon sein gesamtes Erwachsenenleben lang schreibt. Er lebte und arbeitete in verschiedenen Ländern und hat noch viele weitere bereist. Er spricht oder sprach sieben Sprachen fließend und lernt momentan Thai, da er mit seiner thailändischen Frau, mit der er seit zehn Jahren verheiratet ist, in Thailand lebt. "Ich habe nie lange gebraucht, um eine Sprache zu lernen", sagt er, "aber Thai ist mit keiner anderen Sprache verwandt, die ich zuvor gelernt habe." Auf die Frage nach seinem Schreibstil antwortete er: "Ich bin Kelte und wir sind romantisch. Ich glaube an Wiedergeburt und vieles mehr in diese Richtung. Dieser Glauben, Sprichworte wie 'Behandle andere so, wie du behandelt werden willst' und 'Es kommt alles wieder zu einem zurück', Schicksal und Karma spielen eine zentrale Rolle in meinem Leben und so spiegeln sie sich auch in meiner Arbeit wieder." Seinem erster Roman "Daddy's Hobby" aus der Serie "Behind The Smile: The Story of Lek, a Bar Girl in Pattaya" (Hinter dem Lächeln: die Geschichte von Lek, einem Barmädchen in Pattaya) folgten 6 Fortsetzungen. Doch seine größte Reihe ist die Megan Serie, die aus 21 Novellen besteht und sich um die übernatürliche Entwicklung eines jungen Mädchen dreht. Der Untertitel "Ein Spirit Guide, ein Tigergeist und eine beängstigende Mutter" fassen das ganze sehr gut zusammen.
Related to Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni
Related ebooks
Dini ya Fedha Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMwana-Adam ni Nani Naye ni Nini Mungu Amkomboe: Chuo cha Kwanza, #1 Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsItaje! Idai!! Ichukue!!! Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsInamaanisha Nini kuwa na Busara kama Nyoka Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsSayansi ya Kupata utajiri Rating: 5 out of 5 stars5/5Kushindwa Sasa Basi Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsBiblia Inasema Usiogope Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsVile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua: Kujitambua, #1 Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsLeo Nitakufa: Chaguo Maishani Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsHatari za Kiroho Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsHawara Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsBwana Okoa Ndoa Yangu Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsEneza Huduma Yako Kwa Miujiza na Udhihirishaji wa Roho Mtakatifu Rating: 4 out of 5 stars4/5Ijue, Dhiki Kuu na Unyakuo wa Watakatifu Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsBinti Unaweza Kufanikiwa Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsGUNDUA UCHUKUZI WAKO Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMapepo Na Jinsi Ya Kukabiliana Nayo Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMaono Niliyoona Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsSanaa ya Kufuata Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKitabu Cha Mistari Ya Bibilia Ya Kukari Rating: 3 out of 5 stars3/5Jinsi ya Kusali & Kuongea na Yahweh Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMwongozi Wa Roho: Safari Maishani Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsVitengo vya Ujenzi Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsNyayo Za Obama Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMguso Mzuri Wa Upako Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMafundisho ya Utajiri Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsWale Wanaokuacha Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMakosa Kumi Makuu Ambayo Wachungaji Wanafanya Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsWale Wanaojifanyisha Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKitabu cha Sherehe Rating: 0 out of 5 stars0 ratings
Reviews for Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni
0 ratings0 reviews
Book preview
Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni - Owen Jones
Hello na sukrani kwako kwa kununua kitabu hiki cha mtandaoni kinachoitwa ‘Tiba za kinyumbani za kitamaduni’. Ninatumai ya kwamba utayaona maandishi haya kuwa ya usaidizi, muhimu na ya faida.
Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara ijapokuwa wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi.
Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia.
Hata hivyo, pamekuwa na ufufuo wa hamu ya kujua matibabu ya kale, mara nyingi inayojulikana kama tiba za kitamaduni, tiba mbadala au tiba ya asili. Kuna sababu nyingi za jambo hili. Baadhi yake yaweza kuwa kupotea kwa uaminifu wa mfumo ulioko na kutoamini watangazaji; bei ya juu ya madawa ya kisasa; ugumu ambao unaongezeka wa kuweza kutembelea daktari; athari zinayotokana na nguvu ya madawa ya kemikali; na pia kuongezeka kwa hamu ya kurudi kwa maisha isiotegemea kemikali sana.
Bila kujali sababu yako ya kupendezwa na mada hii, natumaini ya kwamba utafurahia kijitabu hiki. Maandishi ya kitabu hiki cha mtandao kuhusu namna mbalimbali za tiba za kinyumbani za kitamaduni na mawazo hanayohusiana, kimepangwa kwa sura 20 za takriban maneno 500-600 kila sura. Ninatumai ya kwamba kitapendeza wale ambao wanafikiria tunapokea kemikali nyingi sana siku hizi. Na kama nyongesa ya faida, ninakupatia ruhusa ya kutumia maandishi haya kwa tovuti yako au kwa mtandao wako na kwa jarida zako, ingawa ni vyema kuziandika upya ukitumia maneno yako mwenyewe.
Unaweza pia kugawanya kitabu hiki vipande vipande na kuyauza makala hayo. Kwa hakika, haki tu ambayo hauko nayo ni ya kukiuza kitabu hiki au kukipeana kikiwa vile ulivyokipokea.
Na kama uko na maoni yoyote, tafadhari yapeane kwa kampuni ambayo ulinunua kitabu hiki kutoka kwake.
Sukran tena kwa kukinunua kitabu hiki,
Ninakutakia mema,
Owen Jones
Yaliyomo
Tiba za Kinyumbani za Kufanya Meno Kuwa Meupe
Kufanya Mazoezi na Kupunguza Mafuta Mabaya kwa Mishipa
Tiba ya Kinyumbani ya Kuondoa Ukuaji Wenye Rangi Tofauti Kwa Ngozi
Dawa za Kinyumbani ya Kufukuza Mbu
Homa ya Dengue na Umaskini
Dawa za Kinyumbani ya Kufukuza Wadudu
Dawa za Kinyumbani – Vidokezo Zangu Tano
Dawa ya Kinyumbani ya Kuua Mchwa
Je, Dawa Asili ya Kuwaua Wadudu ni Asili Vile
Wafukuze Mbu kwa Njia Zaidi ya Moja
Kujifunza Namna ya Kutuliza Uchungu wa Mgongo
Mambo ya Kujaribu Kabla ya Kutumia Dawa Asili ya Kuua Wadudu
Wakati Binadamu Wanakuwa Sumu kwa Mbu
Kuwaua Mchwa Ukitumia Dawa Asili za Kuua Wadudu
Kutumia Masabuni Kama Dawa Asili ya Kuua Wadudu
Tiba Asili ya Chawa wa Kichwani
Kutibu Ambukizo ya Kufungana Mapua Ukitumia Tiba ya Mitishaba
Mitishaba Asili za Kutuliza Kuchomwa na Asidi
Tiba za Kinyumbani ya Kuchomwa Ngozi na Jua
Tiba za Kinyumbani za Kufanya Meno Kuwa Meupe
Hata ingawa kila mtu hupenda meno meupe zaidi, watu wengi huchukia kwenda kwa Daktari wa meno. Kufikia wakati uliopita ambao si kitambo sana, njia pekee ya kufanya meno kuwa meupe kwa upesi ilikuwa kwa kumtembelea daktari wa meno, na kwa hivyo nafasi nyingi za kufanya meno kuwa meupe zilitupiliwa mbali na kuahirishwa,
