Nyayo Za Obama
()
About this ebook
"Nyayo Za Obama" ni kati ya vitabu vichache vilivyoandikwa kwa Kiswahili sanifu ambavyo vinazingatia historia ya ya Marekani, raia zake, uchumi na majukumu yake ya uongozi katika dunia ya utandawazi.Kati ya uongozi wake muhimu ni ule wa taasisi za kimataifa kama vile Umoja wa Mataifa, Taasisi za Bretonwoods kama vile Benki Kuu ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), nk. KIkifuatilia maisha ya rais wa 44 wa Marekani kuanzia nasaba yake ya Kiafrika, hadi alikofikia kwenye kilele cha siasa ya Marekani, kinaeleza kinaganaga jinsi Barack Obama alivyoanza amali yake ya siasa, mbinu alizotumia kupiku wapinzani wake wakubwa hasa katika kampeni za kinyang'anyiro cha urais hadi kwenye tamati ya ushindi wake wa kihistoria. KItabu hiki kimeandaliwa kwa wasomaji wale wenye ujuzi wa lugha nyingine hasa Kiingereza, ili kuweza kujieleza vizuri kwa Kiswahili bila kulazimika daima kukopa maneno au semi kutoka kwa lugha ya Kiingereza. Kwa ajili ya lengo hilo, kurasa za mwisho za kitabu hiki kinacho msamiati mahasusi unaosheheni tafsiri za maneno mengi ya Kiingereza katika Kiswahili sanifu.
Safari E. Ohumay
Safari E. Ohumay is a US citizen who was born in a rural village of Tanzania. He first came to the US as a graduate student in Development Management and returned home after graduating in 1976. Earlier on he studied Math and Economics and graduated with a BS degree from the university of DaresSalaam in early 1972. After a two year stint in senior management in two Tanzanian industrial processing firms he received a job offer from the World Bank Group in Washington DC through its Young Professionals Program.For the next 18 years he travelled extensively from Washington to many parts of Asia and Africa as the World Bank’s Program manager focusing in Infrastructure and Urban development under the theme of poverty alleviation. He spent most of his career in the World Bank working with countries such as Bangladesh, Burma, Indonesia, Pakistan and Srilanka in Asia, and Kenya, Malawi, Swaziland and Tanzania in Africa. Recently he joined the US Agency for International Development team in Afghanistan for one year as a Field Program officer at the height of the US campaign against Al-Kaida. Safari E. Ohumay lives in the Washington suburbs of Maryland and works as a freelance consultant.
Related to Nyayo Za Obama
Related ebooks
Hofu Rating: 5 out of 5 stars5/5Nyuma Ya Pazia Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsTutarudi na Roho Zetu? Rating: 5 out of 5 stars5/5Mafundisho ya Utajiri Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsUjasusi Ni Nini? Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa? Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsNyuma ya Mapazia Rating: 5 out of 5 stars5/5Eneza Huduma Yako Kwa Miujiza na Udhihirishaji wa Roho Mtakatifu Rating: 4 out of 5 stars4/5Pesa Zako Zinanuka Rating: 5 out of 5 stars5/5Mvungu Mkeka Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsBahati Alikata Kiu Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsZambada na Hadithi zingine Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsNjama Rating: 5 out of 5 stars5/5Jinsi ya Kutangua Laana Rating: 5 out of 5 stars5/5Mtambo wa Mauti Rating: 5 out of 5 stars5/5Dimbwi la Damu Rating: 3 out of 5 stars3/5Kionjo cha Unafiki Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKufa na Kupona Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMwenye Kitu Atapewa, Naye Asiye Nacho, Hata Kile Alicho Nacho Tanyang'anywa Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKitabu cha Sherehe Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsUanzishaji Wa Imani: Taasisi ya mafunzo ya Isaya 58 Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsNajisikia Kuua Tena Rating: 5 out of 5 stars5/5Kuelezea Ni Nani Barack Obama Kikamilifu Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsDini ya Fedha Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsWaathirika. Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsTishio la Ukombozi: Ubeberu na Mapinduzi Zanzibar Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKufikirika Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsLaikos: Watenda Kazi wa Kawaida na Huduma Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMiaka Miwili Ya Urais Wa Magufuli: Safari Ya Matumaini Au Nyota Iliyofifia? Rating: 1 out of 5 stars1/5Mwana-Adam ni Nani Naye ni Nini Mungu Amkomboe: Chuo cha Kwanza, #1 Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsImani Ya Mtu Wingine Rating: 0 out of 5 stars0 ratings
Reviews for Nyayo Za Obama
0 ratings0 reviews