Mvungu Mkeka
By Wadi Kyhia
()
About this ebook
Mvungu mkeka ni riwaya inayoudhihirisha mkanganyiko wa utandu wa siri zenye kiza totoro katika jamii. Yasikitisha kuwa hata baina ya wanaotakiwa kuwa na uwazi zaidi ya ule wa mchana wa jua, kinachotamalaki mioyoni mwao ni kiza na usiri. Umdhaniaye siye na usiyemdhania ndiye.Moyo wa mja umejaa siri nyingi zisizojulikana. Siri hizi ni kama vile ulaghai wa ubaba, dhuluma za ujane, wanaume na uoga wa afya ya uzazi, unyanyapaa dhidi ya waathiriwa wa Ukimwi, Saratani na Nasuri. Wahifadhi wa siri zenyewe husahau kuwa kweli inapodhihiri,uwongo hujitenga.
Moyoni, Sirikiza anapigana miereka na atiati za urijali wake huku Sonia,mkewe, akiwa mhifadhi mkuu wa siri ya ulaghai wa ubaba kumwelekea Sirikiza.Sonia haoni soni kumfanyia Zabibu,mamake,ugingisi; huku naye Daktari Omari,babaye wa kambo wa Sonia,akiwa mso hayawa hili la kumtungisha Sonia ujauzito haramu.Leila anao mwanga kwa urijali wa Sirikiza.
Wadi Kyhia
A trained journalist and author.I love good books.
Read more from Wadi Kyhia
Simu Ya Kuzimuni Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKioo Chenye Kiwi Rating: 0 out of 5 stars0 ratings
Related to Mvungu Mkeka
Related ebooks
Kufa na Kupona Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsNyuma Ya Pazia Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsZambada na Hadithi zingine Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsCheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsStarehe Gharama Rating: 5 out of 5 stars5/5Mtambo wa Mauti Rating: 5 out of 5 stars5/5Nyuma ya Mapazia Rating: 5 out of 5 stars5/5Pesa Zako Zinanuka Rating: 5 out of 5 stars5/5Mafundisho ya Ndoa Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsHawara Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsTutarudi na Roho Zetu? Rating: 5 out of 5 stars5/5Najisikia Kuua Tena Rating: 5 out of 5 stars5/5Kufikirika Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMashairi Rahisi:Mazoezi Na Majibu Kielelezo Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsHofu Rating: 5 out of 5 stars5/5Uanzishaji Wa Imani: Taasisi ya mafunzo ya Isaya 58 Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKionjo cha Unafiki Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMikidadi wa Mafia: Maisha ya Mwanaharakati na Familia Yake Nchini Tanzania Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsYisrael Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsLaikos: Watenda Kazi wa Kawaida na Huduma Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMafundisho ya Utajiri Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsHistoria & Maisha ya Yeshua Kristo Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsWale Wenye Kiburi Rating: 5 out of 5 stars5/5Stadi ya Usikivu [toleo la 2] Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsNjama Rating: 5 out of 5 stars5/5Namna Unavyoweza Kuwa Mkristo Aliyehodari Rating: 3 out of 5 stars3/5Maono Niliyoona Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMakosa Kumi Makuu Ambayo Wachungaji Wanafanya Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsWale Wanaosahau Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsSauti Ya Mungu Yenye Nguvu Rating: 0 out of 5 stars0 ratings
Related categories
Reviews for Mvungu Mkeka
0 ratings0 reviews