Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Kusamehe Kumerahisishwa
Kusamehe Kumerahisishwa
Kusamehe Kumerahisishwa
Ebook25 pages59 minutes

Kusamehe Kumerahisishwa

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.

LanguageKiswahili
Release dateApr 8, 2018
ISBN9781641345453
Kusamehe Kumerahisishwa
Author

Dag Heward-Mills

Bishop Dag Heward-Mills is a medical doctor by profession and the founder of the United Denominations Originating from the Lighthouse Group of Churches (UD-OLGC). The UD-OLGC comprises over three thousand churches pastored by seasoned ministers, groomed and trained in-house. Bishop Dag Heward-Mills oversees this charismatic group of denominations, which operates in over 90 different countries in Africa, Asia, Europe, the Caribbean, Australia, and North and South America. With a ministry spanning over thirty years, Dag Heward-Mills has authored several books with bestsellers including ‘The Art of Leadership’, ‘Loyalty and Disloyalty’, and ‘The Mega Church’. He is considered to be the largest publishing author in Africa, having had his books translated into over 52 languages with more than 40 million copies in print.

Related to Kusamehe Kumerahisishwa

Related ebooks

Reviews for Kusamehe Kumerahisishwa

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Kusamehe Kumerahisishwa - Dag Heward-Mills

    SURA YA 1

    Msamaha wa Kikristo

    Mkavae utu mpya...

    Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya:

    Tena kuweni wafadhili mmoja kwa mwengine, wenye huruma, mkasameheane kama na Mungu katika Kristo alivyowasamehe nyinyi.

    Waefeso 4:24, 31, 32

    Biblia inatuambia ya kwamba tunapozaliwa mara ya pili, tunakuwa watu wapya, au viumbe vipya.

    Wakati mtu anapokuwa daktari ama askari jeshi, yeye hutakiwa kuishi katika hali fulani. Vivyo hivyo, mfumo fulani wa tabia unatakiwa kwa yeyote anayekiri kuwa Mkristo au mtu mpya.

    Moja wapo ya sifa za kimsingi za mtu mpya ni kuwa yeye husamehe. Huyo mtu mpya hatakiwi kuishi katika hali ya kutosamehe.

    Kulingana na kanuni za kibiblia, mtu mpya hafai kuishi maisha yake kulingana na yale yanayoendelea katika dunia hii. Duniani, ni nadra watu kusamehe. Ni kawaida kwa mtu kulipiza kisasi, lakini si kusamehe. Hata hivyo, Mungu anakutarajia usamehe pindi unapokuwa mtu

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1