Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu
Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu
Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu
Ebook47 pages24 minutes

Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Mada ya imani ni muhimu sana kwetu kuelewa. Kitabu hiki kinashughulikia misingi ya kile tunahitaji kuelewa juu ya imani. Soma kitabu hiki ili ujue jinsi ya kuongeza imani yako. Maandiko mengi yaliyonukuliwa yanatuonyesha kile Biblia inafundisha juu ya imani, na maoni kwa wakati wote ambayo yanamwongoza msomaji kuelewa maandiko ambayo yamenukuliwa.
Kitabu hiki kinafundisha juu ya mfano wa Mababa wetu wa Imani, kama vile Ibrahimu. Matendo yao yanaonyesha kuwa walikuwa na imani iliyo hai na tunaona wanapongezwa kwa hili. Imani yetu lazima iwe ya matendo na hai pia. Tunajifunza kuwa imani sio tamaa - hisia za kawaida lakini jambo lenye nguvu na hatua. Unaweza kushangazwa na baadhi yay ale yanayofundihshwa na Biblia katika suala la kuwa na imani. Kitabu hiki kifupi kitakuonyesha maandiko haya na kukusaidia kuelewa maana ya kuwa mwaminifu.
Kitabu hiki kinatusaidia kugundua jinsi wafuasi wa Kristo wanapaswa kukuza imani, ambayo ni kwa mujibu wa imani katika Neno – yaani Biblia. Tunajifunza mambo kadhaa ya kushangaza juu ya imani, yaliyothibitishwa kupitia Maandiko. Je! Ulijua kuwa msamaha kwa wengine unahusiana na imani? Kitabu hiki kinashughulikia maoni potofu ya kawaida juu ya imani na Sheria na inaelezea wazi ukweli wa jambo hili kwa kutumia Maandiko na mfano wa matendo. Utasoma ahadi na maagizo ya Mungu wa Milele aliye hai, kama ilivyoandikwa katika Biblia, ambayo inaweza kujenga imani yako. Utajifunza kuwa mambo yanayodhaniwa kuwa hayawezekani, mambo ambayo hatujawahi kufikiria, tunapokuza imani yetu, yanawezekana - kwa sababu tu tuna Baba mwaminifu ambaye ni Mungu wa kuamini. Imani hii yetu inaweza kutuathiri hapa na sasa na vile vile nyakati ambazo ziko mbele.
Watu ambao watakuwa na Mfalme wa Wafalme wakati atakaporudi wanaitwa, kuchaguliwa na ni waaminifu. Ikiwa unataka kuwa mmoja wa wachache ambao hupatikana kuwa waaminifu wakati wa mwisho ni muhimu kujenga uhusiano wako na Muumba wa Ulimwengu, kitabu hiki kinaweza kukusaidia. Soma kitabu hiki na utafute maandiko yaliyoonyeshwa. Kitabu hiki kinaweza kutumika kama rejeleo na kusomwa tena na kurudiwa ili kuelewa imani na kuiweka imani hiyo kwa matendo.

LanguageKiswahili
Release dateJan 1, 2022
ISBN9781636600314
Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu
Author

Bob Thiel, Ph.D.

Dr. Thiel has a Ph.D. in one of the sciences and a foreign Th.D. in early Christianity. As the overseeing pastor of the Continuing Church of God, he works with people around the world to work on Jesus' commissions in Matthew 24:14 and Matthew 28:19-20, as well as working on other matters written about in the New Testament.

Related to Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu

Related ebooks

Reviews for Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Imani Kwa Wale Walioitwa na Kuchaguliwa na Mungu - Bob Thiel, Ph.D.

    Imani Kwa Wale

    Walioitwa na

    Kuchaguliwa na Mungu

    Na Bob Thiel,SU.

    Copyright 2014 by Nazarene Books.Toleo la kwanza.Kijitabu kinachotolewa na Kanisa la Mungu Linaloendelea (CCOG) na warithi wake,shirika la mtu binafsi.1248 E.Grand Avenue#,Arroyo Grande,Carlifornia,93420 USA.

    Maandiko yamenukuriwa kutoka kwa New King James Version (Thomas Nelson,Copyright 1997;yanatumika kwa idhini) wakati mwingine hufupishwa kama NKJV,lakini kwa kawaida huonyeshwa bila ufupisho.

    ISBN 978-1-940482-04-0

    Jalada:Miguu juu ya maji inaonyesha kwamba Wakristo wanapaswa kutembea kwa imani si kwa kuona (2 Wakorintho 5:7).Jalada la nyuma inaonyesha Bahari ya Galilaya.Mtume Petro aliitwa na kuchaguliwa na hata alitembea na Yesu kwa muda mfupi juu ya maji (Mathayo 14:25-31).Licha ya kutembea juu ya maji,Petro alikuwa na imani ndogo,na Yesu alimhimiza awe na imani zaidi.

    Imani Kwa Wale

    Walioitwa na

    Kuchaguliwa na Mungu

    Na Bob Thiel,SU.

    Imani ni nini? Je! Imani inaweza kuongezwa?

    Je imani ni hisia tu?Je! Imani inabatilisha amri?

    Wengi wanaongea juu ya imani,lakini je!Ni kweli wana imani?

    Mamilioni wamekosa imani ya kuyapokea majibu ya maombi.

    Mara nyingi ni kwa sababu ya kukosa kuelewa maana ya imani.

    Je! Waweza kusoma na kufanya yaliyofundishwa na Biblia kuhusu imani?

    Imani kwa wale walioitwa na kuchaguliwa na Mungu

    Je! Wajua zaidi kuhusu imani? Je! Wajua jinsi imani ni ya muhimu?

    Yesu alisema,ya kwamba pamoja na rehema na hukumu,imani ni moja ya masuala yenye uzito na ya maana sana ya amri (Mathayo 23:23).Wanafunzi wake waligundua kwamba imani ni muhimu.

    Siku moja:

    5…Mitume wakamwambia Bwana,’’Tuongezee imani’’ (Luka 17:5,NKJV isipokuwa mahali pameonyeshwa sehemu:hata hivyo kijitabu cha Imani ni nini? Kimenukuriwa kutoka kwa KJV,bila ilani iliyotengwa.)

    Bila kuwaambia jinsi ya kuongeza imani yao,Yesu aliwaambia kwamba walikuwa na imani duni.

    Lakini katika sehemu nyingine za Biblia,Yesu na wengine walieleza kwa kina jinsi imani inaweza kuongezwa.Hiki kijitabu kifupi kitaeleza vipengele vingi lakini si vyote.Biblia ya Kiingereza ya NJKV,kwa mfano,ina neno la Kiingereza ‘’imani’’ mara 243 katika Agano Jipya (mara mbili katika Agano la Kale) na neno uaminifu

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1