Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Mti Na Huduma Yako
Mti Na Huduma Yako
Mti Na Huduma Yako
Ebook30 pages52 minutes

Mti Na Huduma Yako

Rating: 2.5 out of 5 stars

2.5/5

()

Read preview

About this ebook

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.

LanguageKiswahili
Release dateApr 7, 2018
ISBN9781641345415
Mti Na Huduma Yako
Author

Dag Heward-Mills

Bishop Dag Heward-Mills is a medical doctor by profession and the founder of the United Denominations Originating from the Lighthouse Group of Churches (UD-OLGC). The UD-OLGC comprises over three thousand churches pastored by seasoned ministers, groomed and trained in-house. Bishop Dag Heward-Mills oversees this charismatic group of denominations, which operates in over 90 different countries in Africa, Asia, Europe, the Caribbean, Australia, and North and South America. With a ministry spanning over thirty years, Dag Heward-Mills has authored several books with bestsellers including ‘The Art of Leadership’, ‘Loyalty and Disloyalty’, and ‘The Mega Church’. He is considered to be the largest publishing author in Africa, having had his books translated into over 52 languages with more than 40 million copies in print.

Related to Mti Na Huduma Yako

Related ebooks

Reviews for Mti Na Huduma Yako

Rating: 2.5 out of 5 stars
2.5/5

2 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Mti Na Huduma Yako - Dag Heward-Mills

    SURA YA 1

    Mti wa Ujuzi wa Mema na Mabaya

    BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na MTI WA UJUZI WA MEMA NA MABAYA.

    Mwanzo 2: 9

    Wakristo wengi hawaelewi nafasi ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya katika maisha yetu. Mara nyingi tunafikiri kwamba ni mti wa kale uliokuwa katika enzi ya Adamu na Hawa. Tunaamini kuwa mti huu ulikuwa na matunda yenye sumu ambayo mtu akiyala angekufa.

    Kwa bahati mbaya, Adamu na Hawa walikula matunda ya mti huo na wakafa. Tukisoma kisa hicho, tunafikiri,"lilikuwa jambo la kuhuzunisha kwa Adamu na Hawa kula tunda hilo lenye sumu na tunashukuru kwamba hatutawahi kujaribiwa kula matunda ya mti kama huo''.

    Ole wetu, itatubidi tupambane na mti huo huo na matunda yake. Kile unachopaswa kufahamu ni kwamba mti wa ujuzi wa mema na mabaya bado upo hadi leo. Mti huo unatuletea majaribu yale yale kwetu kama ilivyofanya kwa Adamu na Hawa. Mti huo hujionyesha kama kitu kinachoweza kuchukua nafasi ya Mungu.

    Ukishakula matunda ya mti huo, unajua lililo jema na baya. Utajua mambo yaliyo mema na mabaya. Unapokuwa umejihami na ujuzi huo (wa yaliyo mema na mabaya) kwa kweli huhitaji Mungu akwambie cha kufanya. Utaona kwamba unaweza kuishi maisha yako na kutekeleza huduma kwa kutumia ujuzi ulioupata.

    Athari mbaya zinazoweza kutokana na ujuzi wa mema na mabaya haziwezi kuonekana wazi na mtu asiyetafakari jambo hilo kwa undani. Hakika, , sio ujuzi wa mabaya pekee, bali ni ujuzi wa mema na mabaya. Mti huo hufanya kitu kimoja kwako ambacho ni kibaya zaidi. Unakutenganisha na mwongozo wa Mungu na kukufanya ukose kumtegemea Mungu.

    Unapoendelea kuwa na uzoefu katika maisha

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1