Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Sheria 10 Za Ushawishi
Sheria 10 Za Ushawishi
Sheria 10 Za Ushawishi
Ebook45 pages58 minutes

Sheria 10 Za Ushawishi

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

    Moja ya ujuzi mkubwa unaotakiwa kuwa nao ni nguvu ya ushawishi kwa sababu chochote unachokitaka katika Maisha yako kinapatikana kwa watu na njia rahisi  ili upate unahitaji uwezo wa kuwashawishi  ili wakupe.Mungu ameweka mambo mengi unayoyaomba kwa Watu  jambo usilolijua endapo utaacha kujifunza kuweza kushawishi watu wakupe unachotaka au kutamani utakuwa mtu wa kulalamika kwanini kuna mambo Upati,kwanini kuna vitu hupati na wanaopata mna sifa sawa au umewazidi.

 

Nimeshuhudia kuna watu wanasema wana mikosi, kuna wengine wanasema hawana bahati na asilimia kubwa siyo kwamba hawajafanikiwa ila hawastahili kuwa na kiwango hiko cha mafanikio. Watu hawa endapo wakiwa tu na nguvu ya ushawishi wanaoweza kufanikiwa zaidi .

 

Ukweli ni kwamba USIPOJUA KUSHAWISHI WATU WAKUPE VITU BASI UWEZI PATA CHOCHOTE KUTOKA KWA WATU,

 

Baada ya miaka mingi ya kuwa mwandishi na mkufunzi niligundua sheria 10 za ushawishi ambazo zinaweza kutumiwa na mtu yoyote kupata chochote anachotamani kutoka kwa WATU

Inawezekana siyo kwamba hauna wateja, Ila hujui kushawishi wateja

Inawezekana siyo kwamba hakuna kazi, ila ujui kushawishi watu wakupe kazi

Inawezekana siyo kwamba hakuna kabisa watu w kukusaidia ila ujui namna gani ya kushawishi watu wakusaidie

Tatizo siyo mtaji, Tatizo unashindwa kushawishi watu wakupe mtaji.

Katika kitabu changu cha Hatua nimefundisha jinsi watu wanavyoweza kufanyika Muujiza Katika maisha yako, katika kitabu hiki nitakufundisha sheria 10 zitakazo ongeza ushawishi wako na kufanya watu wakupe chochote unachokitaka

 

Watu ndo mtaji wa kwanza ili uweze kupiga hatua katika maisha yako ili uweze kutoka hapo ulipo. Sijui kwa sasa una hali gani katika uchumi, katika afya,kwenye Maisha yako ya kila siku lakini kupitia kitabu hiki utaenda kupata chochote ulichokuwa unakitamani kutoka kwa watu kwa urahisi sana.

 

Unaposoma kitabu hiki utajifunza sheria nyingi zitakazo kufanya kuwa wa tofauti na nyuma kabisa na utakuwa imara Zaidi katika ushawishi

 

"Mungu akuongoze katika usomaji wa kitabu hiki"

 

Mwandishi/Mkufunzi&Mwamasishaji.

ERICK EBELHARD MBELEKA

LanguageKiswahili
PublisherErick Mbeleka
Release dateSep 20, 2022
ISBN9798215291153
Sheria 10 Za Ushawishi
Author

Erick Mbeleka

On the surface, Erick Ebelhard Mbeleka is a published author and transformation speaker with over 4 years experience in the industry Since 2018. His interest of speaking and writing embark on when he finished up various program in secondary level such as “What is not taught at school, Life guidance and coaching all the programs was facilitated by ZEPT Foundation   and Map for life organization with facilitation of Mr. Enock Walter.    Currently Erick Mbeleka    has three books named as “HATUA, SHERIA 10 ZA USHAWISHI, SHULE YA FEDHA”. All these books are self helping books with transformational knowledge and skills.    His living purpose and goal is to ensure Multi-million individuals know their purpose and take delight extra ordinary world, he is so efficient at his Job compare to his age, he considers himself as “Master of transformation in young generation”.      Erick Ebelhard Mbeleka cater to major companies as strategic and analytical manager, by profession he is graduate from University of Dar es salaam Tanzania and awarded Bachelor of Science in Quantity surveying in 2022.    He developed a passionate interest in writing  books,conducting public seminars, volunteering in public activities and events.     Erick E Mbeleka has a lot of significant professional experience as author and speaker, he wants to use his untiring commitment and drive to bring more productivity in the society

Related to Sheria 10 Za Ushawishi

Related ebooks

Reviews for Sheria 10 Za Ushawishi

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Sheria 10 Za Ushawishi - Erick Mbeleka

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1