Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Jinsi Ya Kupata Mme
Jinsi Ya Kupata Mme
Jinsi Ya Kupata Mme
Ebook28 pages12 minutes

Jinsi Ya Kupata Mme

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika...kwa chini ya dakika 60
LanguageKiswahili
PublisherTektime
Release dateFeb 23, 2021
ISBN9788835419549
Jinsi Ya Kupata Mme

Related to Jinsi Ya Kupata Mme

Related ebooks

Reviews for Jinsi Ya Kupata Mme

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Jinsi Ya Kupata Mme - EMMANUEL SMITH

    Jinsi Ya Kupata Mume

    EMMANUEL SMITH

    Kimetafsariwa Na: Emmanuel Satongima

    Hakimiliki © 2021 Emmanuel Smith

    KUHUSU MWANDISHI

    Emmanuel Smith ni mwandishi Nguli na Mzungumzaji wa hadhara.

    YALIYOMO

    Utangulizi

    Anaonekanaje?

    Unaonekanaje?

    Unahitaji kwenda kutafuta.

    Usijionyeshe mkali sana.

    Baki kuwa wewe.

    Onyesha shauku yako.

    Mfanye acheke.

    Ongea kidogo, sikiliza sana.

    Tengeneza urafiki na marafiki zake…………………………………………………20

    Jihusishe na vitu anavopenda.

    Endelea na maisha yako.

    Mtulize……………………………………………………………………………………………23

    Usimtumie kwa manufaa yako.

    Ni rafiki au mume?

    Ni mwanaume wako, au mama ushauri wake?

    Usijihujumu mwenyewe.

    Anahitaji kuwa mume wako?

    Pima shauku yake kuhusu Ndoa.

    Onyesha kujali Shughuli zake.

    Onyesha unajali masuala yako ya kifedha .

    Kuwa mwanamke wa kawaida.

    Usiharakishe mambo.

    Punguza matarajio yako.

    Ruhusu Uhusiano wako kukua.

    Kimsingi acha kutavuta.

    Utangulizi

    Habari! Hongera kwa uamuzi wa kumtafuta mwenzi wa Maisha. Kwasababu unasoma kitabu hiki, ninaamini umeona ni kitu sahihi kufanya.

              kwanini unahitaji mume sio kitu muhimu kwangu, wala kwa mtu mwingine yoyote. Inawezekana ni kwa ajili ya kujiongeza sifa kwenye maisha, baadhi yao ni kupata msaidizi ndani na nje ya nyumba, kwa wengine, uhitaji

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1