Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali
Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali
Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali
Ebook31 pages19 minutes

Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Mkwamba unataka kusaidia wakati wa mapigano dhidi ya maadai wa Vibwengo. Lakini Deizi hakufikiria kuwa ni mkubwa vya kutosha. Mkwamba haujakata tamaa. Pamoja na Mzaha, Kijana wa Zimwi aliinyemelea kambi ya adui. Walikuwa na mpango. Lakini wataweza kuendelea kujificha dhidi ya Makonde ya Chuma na majitu ya kutisha ya mfalme?
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi
LanguageKiswahili
PublisherSAGA Egmont
Release dateAug 27, 2019
ISBN9788726254587
Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali

Related to Hatima ya Vibwengo 2

Titles in the series (38)

View More

Related ebooks

Related categories

Reviews for Hatima ya Vibwengo 2

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Hatima ya Vibwengo 2 - Peter Gotthardt

    purchaser.

    Hatima ya Vibwengo 2

    Moyo wa Jabali

    Hii ni hadithi ya moja ya enzi mbaya sana katika historia ndefu ya Vibwengo. Ilitokea wakati adui mkubwa pamoja na jeshi lake walipoingia kwenye nchi ya Vibwengo. Lengo lake lilikuwa ni kuwafanya watumwa Vibwengo vyote. Vibwengo walijawa huzuni na hasira. Adui aliiteketeza nchi yao nzuri na uhuru wao ulikuwa hatarini. Bila kusita, walijibu mapambano. Walijua kwamba walikuwa wanapigana kwa ajili ya hatima ya Vibwengo.

    Tai aliruka kutoka kwenye kitundu chake kilicho juu ya majabali. Kwa madaha ya mabawa yake, alipaa juu ya bonde la kijani,ambalo limejificha katikati ya milima.

    Bonde mara zote lilikuwa limetelekezwa. Mara chache, Zimwi au mbuzi mlima kadhaa wangeweza kuonekana pale.

    Lakini halijatelekezwa tena. Kundi kubwa la farasi lililishwa nyasi. Mahema na vibanda vilijengwa. Minara ya moshi kutoka kwenye moto mkubwa ilifuka kuelekea angani. Na kulikuwa na Vibwengo kila mahali.

    Kundi dogo la Vibwengo lilikuwa limekusanyika kwenye sehemu ya wazi katikati ya mahema. Daisy alisimama katikati.

    Kwa bahati nzuri tumefanikiwa kufika kwenye Bonde la Tai, alisema. Ni rahisi zaidi kujilinda sisi wenyewe dhidi ya adui hapa, hata kama wanatuzidi idadi.

    Na kuna nafasi kubwa kwa ajili yetu na farasi wetu, Karafuu alisema. Alimlea Daisy alipokuwa mdogo. Sasa, anamsaidia kuuguza majeraha.

    Lakini vipi kuhusu Mazimwi?" Mkwamba, mdogo wake Daisy aliuliza. Siku moja kabla, alimwona Zimwi nje ya kambi yao.

    Hawajali sisi kuwepo hapa, ilimradi tu hatuwghasi, Daisy alijibu.

    Pale pale, mlinzi alikatiza kwenye umati wa watu. Ngao yake ilikuwa imebonyea sana na damu ilikuwa inachirizika kutoka mkono wake mmoja.

    Ninatoka moja kwa moja kutoka kwenye Pango la Tai, Malkia Daisy ," alisema.

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1