Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika
Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika
Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika
Ebook32 pages20 minutes

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Mahali fulani ndani sana kwenye mlima kuna fimbo takatifu ambayo inaweza kumzidi nguvu Mfalme mwenye Majivuno, ambaye ni adui mbaya zaidi wa Vibwengo. Lakini hakuna anayejua ilikofichwa. Je, Mkwamba na Rafiki zake wanaweza kuipata sehemu ilikofichwa kabla hawajachelewa?
Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi
LanguageKiswahili
PublisherSAGA Egmont
Release dateAug 27, 2019
ISBN9788726254570
Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Related to Hatima ya Vibwengo 3

Titles in the series (38)

View More

Related ebooks

Related categories

Reviews for Hatima ya Vibwengo 3

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Hatima ya Vibwengo 3 - Peter Gotthardt

    purchaser.

    Hatima ya Vibwengo 3

    Makaburi Yaliyosahaulika

    Hii ni hadithi ya moja ya enzi mbaya sana katika historia ndefu ya Vibwengo. Ilitokea wakati adui mkubwa pamoja na jeshi lake walipoingia kwenye nchi ya Vibwengo. Lengo lake lilikuwa ni kuwafanya watumwa Vibwengo vyote. Vibwengo walijawa huzuni na hasira. Adui aliiteketeza nchi yao nzuri na uhuru wao ulikuwa hatarini. Bila kusita, walijibu mapambano. Walijua kwamba walikuwa wanapigana kwa ajili ya hatima ya Vibwengo.

    Vibwengo wanne na Zimwi walikuwa wakitembea kupitia pango kubwa sana kwenye milima. Vyote vilivyowazunguka, kila kitu kilikuwa kimya kabisa. Pango lilionekana kuwa halina mwisho.

    Vibwengo Weusi wawili, Crystal na Dolomite, walitangulia. Katikati alikuwepo Bramble na rafiki yake, mvunana wa Kizimwi. Bwana Mchongoma alikuja kwa nyuma.

    Bramble aliangalia huku na huko akishangaa. Walikuwa ndani ya mlima mkubwa. Na bado, hakukuwa na giza nene. Kuta na dali kwenye pango zilikuwa zinametameta kwa mwangaza hafifu wa njano.

    Nilidhani ungeweza kuona kitu hapa, alisema. Mwanga huu unatokea wapi?

    Ngoja nikuonyeshe, Dolomite alisema.

    Alipeleka mkono wake kwenye ukuta wa jabali. Alipouondoa, pia ulimetameta kwa mwangaza uleule hafifu wa njano.

    Ni kuvu ndogo zilizoota kwenye miamba, alieleza. "Huwa zinaota kwenye giza. Zinaweza kuota sehemu yoyote hapa, zinahitaji tu unyevunyevu kidogo kwenye hewa.

    Inastaajabisha! Bramble alisema.

    Hakika. Ulimwengu wa Vibwengo Weusi umejaa maajabu, Dolomite alisema. Kuna mashimo na mapango hapa kwa maelfu. Yametanuka kilomita baada ya kilomita ndani ya milima.

    Vipi kuhusu chumba cha mazishi ambacho tunajaribu kukitafuta? Mchongoma aliuliza. Natumainim kwamba unajua kilipo.

    Kwa bahatimbaya hapana, alijibu Crystal. "Mfalme Iridiamu na Malkia Lulu walizikwa miaka mingi, mingi sana iliyopita. Tangu hapo, sisi Vibwengo Weusi tulihamia kwenye mapango mapya. Hakuna anayekumbuka makaburi yao yalipo tena. Lakini lazima watakuwepo kwenye moja ya

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1