Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Kionjo cha Wivu
Kionjo cha Wivu
Kionjo cha Wivu
Ebook54 pages32 minutes

Kionjo cha Wivu

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

KIONJO CHA WIVU ni diwani ya mashairi ya pindu. Mifano ya mikondo mbalimbali imetolewa kwa lengo la kumchochea mtafiti na mbunifu kueleza mikondo mingine ambayo katika hali ya kawaida itamtegemea mtunzi wa mashairi.
Katika maisha ya watu kuna kupata na kukosa. Ukikosa, omba. Ukiomba, subiri.
Kila mtu ana kile alichonacho. Wivu ni mbaya. Tusiwe watu wenye wivu ili tuishi kwa amani.

James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu wa shule ya sekondari. Alifunza na kuwatayarisha watahiniwa wa (Christian Religious Education na) Kiswahili kwa miaka mingi. Kwa mujibu wa taaluma yake, ametunga vitabu kadha vya mashairi kikiwemo UANDISHI WA INSHA NA TUNGO NZURI, TAALUMA YA USHAIRI (akishirikiana na Kitula King’ei,), MASHAIRI RAHISI, KIONJO CHA UCHOKOZI, KIONJO CHA UNAFIKI, ....

LanguageKiswahili
Release dateNov 17, 2015
ISBN9781310066863
Kionjo cha Wivu
Author

James Kemoli Amata

I am a retired secondary school teacher of Kiswahili (and Christian Religious Education) and an excited preventive healthcare marketer with Green World Health Products Company.I am a 1976 University of Nairobi Bachelor of Education [Arts (Hons)] graduate and a freelance content writer with a passion for writing and indeed I am a farmer-like author with many titles.I published my first book in 1985, by traditional publishing. I have tried self-publishing and now I am in great heat to explore E-publishing.However, I will never forget my Taaluma ya Ushairi (with Kitula King’ei) from which the publisher ate fat alone, and happens to be an E-book without my knowledge.As I do my business, I worship God in African Kenya Sabcrynnsk of Soi (Prayer and Healing) Church.

Read more from James Kemoli Amata

Related to Kionjo cha Wivu

Related ebooks

Reviews for Kionjo cha Wivu

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Kionjo cha Wivu - James Kemoli Amata

    Kionjo cha Wivu

    Mashairi ya Pindu

    Hakimiliki © James Kemoli Amata, Alhamisi, 10 Septemba 2015

    Watu wengi wameiba kazi zangu.

    Usiwaige.

    Kwa mujibu wa maadili, wajibu na sheria, haki zote ni za mwandishi.

    Kimetangazwa katika Smashwords.com

    Na James Kemoli Amata, on Jumanne, Novemba 17, 2015

    Toleo La Smashwords, Maelezo Ya Idhini

    Hiki kitabu cha elektoniki kimeidhinishwa kwa minajili ya raha yako ya kibinafsi peke. Hiki kitabu kisiuzwe tena wala kisipewe watu wengine. Iwapo ungependa kukitumia hiki kitabu na mtu mwingine, tafadhali nunua nakala ya ziada kwa kila mpokezi. Iwapo unakisoma hiki kitabu na hukukinunua, au hakikununuliwa kwa minajili ya matumizi yako peke yako, basi tafadhali kirudishe kwa Smashwords.com na ununue nakala yako. Asante kwa kuiheshimu kazi ngumu ya mwandishi huyu.

    Smashwords edition, license notes

    This ebook is licensed for your personal enjoyment only. This ebook may not be re-sold or given away to other people. If you would like to share this book with another person, please purchase an additional copy for each recipient. If you’re reading this book and did not purchase it, or it was not purchased for your use only, then please return to smashwords.com and purchase your own copy. Thank you for respecting the hard work of this author.

    Nukuu

    Mimi nimeiumba dunia hii,

    Wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi,

    Kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; ninawapa watu kama inipendezavyo. – Yeremia 27:5

    Wakfu kwa

    Marehemu Mike Enock, mwimbaji mashuhuri wa Dar es Salaam Jazz Band (Majini ya Bahari), aliniimbia nyimbo, na ninakumbuka (maneno tu):-

    Kwanza:

    Fitina ni za nini oo?

    Wanangoma wenzangu,

    Kila nikiwasili,

    Wote wana nia mbaya,

    Heri niwe peke yangu,

    Kuliko kuwa na wabaya.

    Pili:

    Wengine hunifuatafuata oo,

    Na wengine hijifanya wapenzi oo,

    Kumbe ni maadui sana.

    Uadui mfanye,

    Na mambo yote myamalize,

    Kama Mola hapendi ni kazi bure,

    Mtasema mtachoka.

    Shukurani

    Mungu wangu ambaye amenipa uhai na uwezo,

    Ninamshukuru sana.

    Namshukuru sana Jeniffer Chepkirui,

    Daima amenifaa,

    Mungu Ambariki sana.

    Humphrey Kamadi amenifaa sana,

    Mungu amjazi belele.

    ***

    Kionjo cha Wivu

    Na James Kemoli Amata

    ***

    Utangulizi

    Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu,

    Israeli na aseme sasa,

    Mara nyingi wamenitesa tangu,

    Lakini hawakuniweza.

    Wakulima wamelima mgongoni mwangu,

    Wamefanya mirefu mifuo yao.

    BWANA ndiye mwenye haki,

    Amezikata kamba zao wasio haki.

    Na waaibishwe, warudishwe nyuma,

    Wote wanaoichukia Sayuni. – Zaburi 129:2-5

    Hakika Mungu ni mwema kwa Israel,

    Kwa hao walio safi mioyo yao.

    Name miguu yangu ilikuwa karibu na kupotoka,

    Hatua zangu zilikuwa karibu na kuteleza.

    Maana naliwaonea wivu wenye kujivuna,

    Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki. – Zaburi 73:1-3

    Sura ya 1

    1. Mungu

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1