Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari
Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari
Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari
Ebook100 pages1 hour

Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari

Rating: 3.5 out of 5 stars

3.5/5

()

Read preview

About this ebook

Kitabu cha Fasihi Simulizi kimetungwa kwa wanafunzi wa shule za sekondari ili kuwasaidia kujiandaa kwa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne (K.C.S.E.).katika somo la Kiswahili hususan Fasihi Simulizi.

LanguageKiswahili
Release dateMar 29, 2014
ISBN9781311284211
Fasihi Simulizi: Kwa Shule Za Sekondari
Author

James Kemoli Amata

I am a retired secondary school teacher of Kiswahili (and Christian Religious Education) and an excited preventive healthcare marketer with Green World Health Products Company.I am a 1976 University of Nairobi Bachelor of Education [Arts (Hons)] graduate and a freelance content writer with a passion for writing and indeed I am a farmer-like author with many titles.I published my first book in 1985, by traditional publishing. I have tried self-publishing and now I am in great heat to explore E-publishing.However, I will never forget my Taaluma ya Ushairi (with Kitula King’ei) from which the publisher ate fat alone, and happens to be an E-book without my knowledge.As I do my business, I worship God in African Kenya Sabcrynnsk of Soi (Prayer and Healing) Church.

Read more from James Kemoli Amata

Related to Fasihi Simulizi

Related ebooks

Reviews for Fasihi Simulizi

Rating: 3.3333333333333335 out of 5 stars
3.5/5

3 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Fasihi Simulizi - James Kemoli Amata

    Fasihi Simulizi

    Kwa Shule za Sekondari

    James Kemoli Amata

    * * *

    Toleo la Smashwords

    * * *

    Baadhi ya vitabu vingine vya mwandishi huyu

    Taaluma ya Ushairi, Acacia Stantext Publishers, 2001

    Mwongozo wa Kipekee wa Mwisho wa Kosa, Africawide Network

    Mwongozo wa Kipekee wa Kifo Kisimani, Africawide Network

    Mwongozo wa Kipekee wa Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine,

    Africawide Network

    Mwongozo wa Kipekee wa Utengano, Africawide Network

    Highly Regretted: An autobiography of a bad teacher, AuthorHouse, 2010

    Kisa cha Zahara Mage, MvuleAfrica, 2008

    Mashairi Rahisi: Mazoezi na Majibu, Smashwords.Com

    Mitihani Kielelezo ya Kiswahili KCSE, Smashwords.Com

    Ushairi na Aina na Bahari za Mashairi, Smashwords.Com

    How To Fail Any Examination, Smashwords.Com, 2012

    Tuchambue Tamthilia: Mstahiki Meya ya Timothy M. Arege, Smashwords.Com, 2013

    Sweet Tails, Smashwords.Com, 2013

    Siri Kali, Smashwords.Com, 2013

    Fasihi Simulizi kwa Shule za Sekondari, MvuleAfrica Publishers, 2013

    Uandishi wa Insha na Tungo Nzuri, Smashwords.com, Oktoba, 2013

    My 50 Questions For 2013 Jubilee Celebrations, Smashwords.com, 2013

    Fasihi Simulizi

    Kwa Shule za Sekondari

    Smashword Edition

    Anwani Ya Mahali:

    Tiens Specialty Shop

    KVDA Plaza, Mezzanine Floor

    Eldoret

    Kenya

    Anwani Ya Posta:

    PO Box 2-30105

    Soy

    Kenya

    Rununu: +254 721 720 699/+254 734 720 699

    B-Pepe: kemoli2003@yahoo.com

    Hakimiliki zote ni za James Kemoli Amata, 2008

    Kimetolewa kwanza na

    MvuleAfrica Publishers

    Tawi la Three M Media and Publishing Limited

    SLP 2157 – 00202, Nairobi.

    © James Kemoli Amata, 2013

    Hakimiliki zote zimehifadhiwa

    Kimechapishwa na kutolewa kwa mara ya kwanza 2013

    ISBN 9966 769 67 6

    Huna ruhusa ya kunakili wala kunukuu chochote kwa njia yoyote iwayo ile bila ya idhini iliyoandikwa ya mwandishi.

    Maelezo ya Idhini ya Toleo la Smashwords

    Kitabu hiki cha kielektroniki kimeidhinishwa kwa raha na furaha yako peke yako ya kibinafsi. Usikiuze tena wala usiwape watu wengine. Ukitaka kutumia pamoja na mtu mwingine, tafadhali nunua nakala ya ziada kwa kila mtumizi. Iwapo unakisoma kitabu hiki lakini hukukinunua au hakikununuliwa kwa matumizi yako wewe peke yako, hivyo basi kirudishe kwa Smashwords.com na ununue nakala yako mwenyewe. Asante kwa kuiheshimu kazi ngumu ya mtunzi huyu.

    Kimetangazwa katika Smashwords.com na

    James Kemoli Amata, Jumamosi, 29 Machi 2014

    Nakitunuku kitabu hiki kwa kwa Margaret M’mbone, mke wangu.

    Kumbukumbu la Toleo la Smashwords

    Sms: Hi, Brother Muluka. I would like to inform you that I have intention and plan of formatting FASIHI SIMULIZI for publication as an ebook. Do you have a word on this?

    Reply: No problem. We will give you the soft copy for your use.

    13/03/2014 04:38:47 PM

    Yaliyomo

    Kwa Mtahiniwa Wa K.C.S.E.

    Shukrani

    Dibaji

    Utangulizi

    Sanaa

    Umuhimu Wa Sanaa

    Tanzu Za Sanaa Na Nyenzo

    Fasihi Ni Nini?

    Umuhimu Wa Fasihi

    Tanzu Za Fasihi

    Fasihi Simulizi (Fasihi-Jadiiya)

    Kuna Tofauti Gani Baina Ya Fasihi Simulizi Na Fasihi Andishi?

    Tanzu Za Fasihi Simulizi

    Umuhimu Wa Fasihi Simulizi

    Simulizi (Hadithi)

    Sifa Za Hadithi

    Umuhimu Wa Ngano

    Vitanzu Vya Ngano

    Ndama Na Fisi

    Hurafa (Kharafa

    Mtu Na Nyani

    Mbuzi Na Wazee Wa Isukha

    Ngano Za Mazimwi; Majitu; Majini

    Keya Na Jini

    Mtanziko

    Nimwokoe Nani?

    Mama Afanye Nini?

    Usuli (Kisasili)

    Asili Ya Jina Dodoma

    Punda Kuwa Pundamilia

    Ngano Za Kishujaa (Visakale)

    Elijah Isaac Mayukuba Shiyonga

    Ngano Za Kichimbakazi (Kudhubahi)

    Soga

    Shikwekwe Na Jimano

    Shikwekwe Na Kiratu

    Ngano Za Kimafumbo

    Kondoo Ahiniwa Ushindi

    Mchapo (Kisa; Kidahizo

    Mwumini Na Mwombaji

    Kongamano La Wanasayansi

    Hadithi Za Kihistoria (Tanzu Za Kisalua)

    Chanzo Cha Kondoo Na Mbwa Kuchukiana

    Migani (Mighani; Visakale)

    Mulogoli Wa Maragoli

    Maigizo (Drama, Tamthilia, Michezo Ya Kuigiza)

    Vitanzu Vya Maigizo

    Ushairi (Nudhumu) Simulizi

    Majigambo Ya Kiratu

    Nyimbo

    Nyimbo Za Shughuli Mbalimbali

    Semi (Tanzu Banifu)

    Methali

    Miundo Wa Methali

    Umuhimu Wa Methali Katika Fasihi Simulizi

    Semi: Misemo Na Nahau

    Simo Na Misimu

    Tanakali Za Sauti

    Ngomezi

    Maswali Ya Mazoezi

    Mtihani Kielelezo 1

    Insha

    Majibu Ya Mtihani Kielelezo 1

    Mtihani Kielelezo 2

    Lugha

    Majibu Ya Mtihani Kielelezo 2

    Mtihani Kielelezo 3

    Fasihi

    Marejeleo

    * * *

    Fasihi Simulizi

    Kwa Shule za Sekondari

    James Kemoli Amata

    * * *

    Kwa Mtahiniwa Wa K.C.S.E.

    Mpenzi Mtahiniwa wa Mtihani wa Kidato cha Nne, Kenya Certificate of Secondary Education (K.C.S.E.),

    Naomba nikushauri ya kwamba kwa maandalizi yako ya Mtihani wako wa K.C.S.E. zingatia matarajio na mahitaji yote ya Kiswahili. Kati ya mahitaji ni kujiandaa kuzikabili karatasi tatu.

    Karatasi ya Kwanza, INSHA, itakutarajia ujibu maswali mawili, kati ya manne, la kwanza likiwa la lazima, katika muda wa saa moja na robo tatu.

    Tumia maandishi mfululizo ukijiepusha sana na utumiaji wa vichwa vidogovidogo isipokuwa katika tungo maalumu zinazolazimu kuwepo kwa vichwa kama hivyo. Daima usitumie alama. Tumia maneno.

    Karatasi ya Pili, LUGHA, itakutarajia ujibu maswali yote manne, ya UFAHAMU, MUHTASARI, MATUMIZI YA LUGHA na ISIMUJAMII, katika muda wa saa mbili u nusu.

    Karatasi ya Tatu, FASIHI, itakutarajia ujibu maswali manne, swali la kwanza likiwa la lazima na usijibu maswali mawili kutoka katika kitabu kimoja au sehemu moja, katika muda wa saa mbili u nusu. Unatarajiwa uwe umesoma vitabu vilivyoteuliwa mara nyingi. Maswali yatatungwa kutoka katika RIWAYA, TAMTHILIA, diwani ya HADITHI FUPI, USHAIRI na FASIHI SIMULIZI.

    Swali la lazima litatoka katika utanzu wowote. Usiupuuze utanzu wowote kati ya hizo zote tano.

    Katika mtihani zingatia maagizo ya mtihani na ya kila swali.

    Hakikisha kazi yako ni nadhifu na unatilia maanani kanuni zote za uandishi mzuri na Kiswahili sanifu.

    Shukrani

    Shukrani zangu za ziwaendee wapenzi wangu: Mke wangu Margaret M’mbone kwa kuwa mke mzuri kuliko wake wote duniani.

    Marafiki zangu Jeniffer

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1