Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Ebook24 pages15 minutes

Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

"Hoteli hii ina kitu cha kipekee, ambacho hakuna hoteli yoyote inayo kama nijuavyo, na imetengewa wateja matajiri zaidi pekee. Inaitwa CHUMBA CHA MICHEZO. Ni mahali ambapo unaweza kulipa ili kuwachungulia wengine wakifanya ngono. Wageni katika hoteli hii wanaweza pia kufanya ngono wenyewe kwa wenyewe hapo. Hali inayosisimua na ya kipekee ni kwamba kuna macho mengine pande ule mwingine pia, ambayo huangalia kwenye dirisha ambalo hufungwa punde tu wanapoacha kujamiiana."



Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
LanguageKiswahili
PublisherLUST
Release dateSep 11, 2019
ISBN9788726216530
Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related to Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related ebooks

Reviews for Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi - Cecilie Rosdahl

    purchaser.

    Anayewachungulia watu wakijamiiana

    Hadithi Fupi ya Mapenzi

    Jina langu ni Nadine. Nina umri wa miaka 19 na ninafanya kazi zamu ya usiku hotelini. Hii ni paradiso yangu kwa sababu ni tulivu na ina starehe. Ninapenda kuwaangalia watu wanaokuja hapa. Wengi wao wanavaa mavazi ya bei ghali, na ni safi sana. Aidha wanaenda mahali au wametoka kwenye mikutano, biashara au likizo. Kila wakati kuna maua mapya na taulo safi.  Vioo husafishwa na kung’arishwa kila wakati. Mimi ni mpokea wageni, lakini pia mimi huwahudumia watu chumbani.

    Wakati kuna utulivu, mimi hukaa hapa na kuandika ndoto zangu. Lazima nipitishe muda kwa njia moja au nyingine, na mimi nimekuwa na ndoto ya kuwa mwandishi. Ndoto yangu kuu ni kuwa na karani wangu kama yule Barbara Cartland alikuwa naye. Nitapangisha chumba changu mwenyewe hapa hotelini, na kutulia nikiwa nimevaa pajama ya hariri huku nikinywa shampeni nikimwambia karani anachopaswa kuandika.

    Tayari nimewasiliana na mhariri. Anafanana na Mel Gibson, mdogo lakini, na mwenye macho ya hudhurungi. Anapenda ndoto zangu za kuleta ashiki, na inafurahisha kwamba anataka kuzisoma, hata kama kuna kurasa nyingi za kuandika kabla ya kutosha kuwa kitabu.

    Msanii wangu nimpendaye ni Sophie Calle. Alikuwa akifanya kazi hotelini, kazi ya kutunza nyumba na alipiga picha za mali ya watu kama

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1