Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Ebook23 pages37 minutes

Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

"Wanaume watano walikuwa wakiruka wakiwa wamevaa suruali zenye manyoya na walikuwa wamevaa barakoa za ajabu za wanyama. Barakoa hizo zilifanana na zile ambazo huvalishwa mbwa kubwa ili kuwazuia kuuma. Zilionekana maridadi pia kama mavazi - kwa kiumbe cha fauni.

Ilikuwa ndoto yangu ya mwanamwali mrembo.

Ilikuwa imetimia.

Viumbe hivyo vitano vya fauni viliichukulia kabisa kama ishara kwamba vinapaswa kuanzisha matambiko yao baada yangu kuviangalia. Ningeweza kusikia nyayo zao ndogo zikiendelea kuwa kubwa."



Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia hadithi za uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
LanguageKiswahili
PublisherLUST
Release dateSep 11, 2019
ISBN9788726242874
Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Read more from Olrik

Related to Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related ebooks

Reviews for Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Mwanamwali Mrembo na Viumbe vya Fauni - Hadithi Fupi ya Mapenzi - - Olrik

    purchaser.

    Mwanamwali na Viumbe w Fauni

    Hadithi Fupi ya Mapenzi

    Ukiangalia maisha yangu kutoka nje, nina uhakika utaamua kwamba mimi ni mpenda pesa sana. Mke niliyewekwa na mume wangu tajiri na mzee. Nimesikia maneno kama hayo mara kwa mara. Watu wakiniangalia mikahawani. Tabasamu za utambuzi katika sherehe. Wanajua kabisa mimi ni mwanamke wa aina gani. Mtu ambaye huendesha gari lake la beighali la kifahari na hana shughuli yoyote ya maana mchana kutwa isipokuwa kutengenezwa makucha, kusingwa, na kuweka miadi na wasusi.

    Kwa bahati nzuri, marafiki wetu wa karibu wanajua si hivyo. Paul na mimi tunapendana sana. Kwa hakika yeye ndiye mwanaume wa ndoto zangu na ninafikiria bado ningempenda hata kama angekuwa tu mekanika wa kawaida katika mji mdogo wa mashambani.

    Ni vyema kwanza niweke wazi kuwa, kuwa na pesa ni kitu kizuri. Si kwamba ninapenda vitu vya thamani, lakini zimenisaidia kuanzisha kampuni yangu mwenyewe ya mapambo ya nyumba – ambayo sasa inaleta faida.

    Na ikiwa ni lazima niwe mkweli, utajiri mkubwa wa Paul huchangia mazoea yake ya kutulia. Hiyo ndio mojawapo ya mambo kumhusu ambayo hunifanya nimpende zaidi. Urahisi. Mvuto. Kujiamini. Uchangamfu.

    Mara chache, nimekasirishwa sana na chuki za bila sababu hadi nikajipata nikibishana kuhusu ni kwa

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1