Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Ebook22 pages14 minutes

Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

"Jenny anaamua japo kwa shingo upande kuiza nyumba yake yenye muundo wa mashua ili aweze kufadhili utafiti wa mradi wake wa kianthropolojia nchini Malaysia. Kwa mara ya kwanza hakuna wanunuzi wanoonyesha nia ya kutaka kununua, lakini siku moja akiwa amesimama nje, akiipaka rangi mashua, mwanamme aliyevalia kitanashati anakuja kuiona mashua ile. Lakini si mashua pekee ambayo anaitamani... Anaonekana kuvutiwa sana, na Jenny naye anagundua kuwa amevutiwa sana na mwili wake kuliko pesa zake..."



Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
LanguageKiswahili
PublisherLUST
Release dateSep 11, 2019
ISBN9788726216585
Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Read more from Olrik

Related to Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related ebooks

Reviews for Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Haramia Jenny - Hadithi Fupi ya Mapenzi - - Olrik

    purchaser.

    Haramia Jenny

    Hadithi Fupi ya Mapenzi

    Hali ya anga ilikuwa ya joto sana kinyume na matarajio ya Jenny alipovalia bwelasuti lake analolipenda ili aipake mashua yake ya muundo wa nyumba rangi nyekundu yenye mchanganyiko wa kahawia kwa jumla. Ameishi katika mashua yake hii ya muundo wa nyumba kwa miaka mitatu, lakini kwa sasa alikuwa anajaribu kushawishi mashirika na vyuo vikuu kadhaa bila kukata tamaa viweze kufadhili mradi wake na ili aweze kutumia elimu yake ya anthropolojia, kuliko kuchuma kipato chake kama naibu wa mwalimu wa shule ya chekechea jinsi alivyo kwa sasa.

    Wazo lake lilikuwa ni kujifunza kuwahusu vijana kutoka pembe zote za dunia waliosafiri hadi Malesia ili kusaidia kuhifadhi mayai ya kasa wa baharini waliokuwa wamehatarishwa. Jenny alikuwa na nadharia kuwa katika mazingira kama hayo, mtu anaweza kupata mwelekeo wa kupendeza kuhusu mstakabali wa mwanadamu. Ni aina gani ya vijana ambao wangeweza kutumia muda wao wa likizo kwa namna hiyo? Lengo lao kuu lingekuwa nini iwapo wangewasili katika maeneo kama yale? Wangejihisi vipi wakati wa kuondoka huko? Na wangekuwa na jambo gani la kujivunia katika kipindi cha miezi sita baadaye?

    Jenny alikuwa na matarajio kuwa uchunguzi wa kisayansi kwa kikundi hicho kidogo cha jumuiya ungeonyesha kuwa miradi kama

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1