Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge
Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge
Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge
Ebook127 pages1 hour

Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge

Rating: 4.5 out of 5 stars

4.5/5

()

Read preview

About this ebook

Mwongozo huu ni kitabu ambacho kimeandaliwa kimaksudi kwa lengo la kumsaidia mwanafunzi, mwalimu na msomi wa fasihi kuelewa na kuchambua kwa kina diwani ya Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine. Mwongozo huu una sehemu mbili kuu. Kuna sehemu ya uchambuzi wa fani na maudhui na sehemu ya kujitathimini; sehemu hii inajumuisha maswali kadha na majibu yake. Hadithi zote zimeshughulikiwa vilivyo. Hadithi hizi ni pamoja na: Tumbo Lisiloshiba, Mapenzi ya Kifaurongo, Shogake Dada ana Ndevu, Shibe Inatumaliza, Mame Bakari, Masharti ya Kisasa, Ndoto ya Mashaka, Kidege, Nizikeni Papa Hapa, Tulipokutana Tena, Mwalimu Mstaafu, Mtihani wa Maisha, na Mkubwa. Aidha, vipengelele vikuu vya uchambuzi vimeangaziwa. Vipengele hivi ni pamoja na: ploti/msuko, dhamira, maudhui mbalimbali, mbinu za kisanaa pamoja na tamathali za usemi, sifa za wahusika na uhusika wao. Ili kumpa msomaji uhondo kamili, maswali kielelezo yametolewa. Haya ni maswali pamoja na majibu yanayolenga kutoa dira ya namna maswali katika mtihani yanavyofaa kujibiwa. Kila jibu limetolewa hoja za kuridhirisha kuambatana na mitindo mipya ya utahini pamoja na matarajio ya watahini. Ni maswali ya kumfikirisha msomaji na wakati huo huo kumpa nyenzo za kukabiliana na maswali mengine. Kuna maswali tumbi nzima yakiwa ni pamoja na yale ya dondoo, ya kujadili pamoja na yale ya kuthibitisha kauli kutoka katika hadithi. Ni kitabu ambacho kimeyasahilisha masuala yanayoonekana changamano na tata.

LanguageKiswahili
Release dateMar 28, 2021
ISBN9781393172314
Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge
Author

SHADRACK KIRIMI

Shadrack Kirimi ni msomi, mwandishi na mtafiti wa Kiswahili. Ameandika makala na vitabu vya marudio kwa wanafunzi wa shule za upili vikiwa ni pamoja na Hadubini ya Lugha, Hadubini ya Fasihi, Uchambuzi wa Fasihi, Mwongozo wa Chozi la Heri: Maswali na Majibu, na Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine: Maswali na Majibu. Pia, ana tajriba pana katika utahini na kufundisha katika shule za sekondari.

Read more from Shadrack Kirimi

Related to Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge

Related ebooks

Reviews for Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge

Rating: 4.666666666666667 out of 5 stars
4.5/5

3 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge - SHADRACK KIRIMI

    E1abook_preview_excerpt.htmlZ]s6+x'IM8ӝM$ӝ쾁&$B$HH#sP$O]ד?..9yӽ}߮]z"]{Ǹv^\G-jzK;TV}ve[)x.ҮWgR7Y}(5+-Vn[ .p-{gRkz53ى6uxb"TbE׊-XB{BP2!,d _R␔^ >wVLޫV9mB}7*Z.ؾ6JGk[P@mC~0UXUpMovU<kJ鲝f Vo(A4шY";>-gA{2iի5AV)IEc%*2HJ+H۽F@AĊDm.=;#`F2D Jm24:mB#*M$F' t1)w$gmbRisX?&+|nx'nWWY˅_U:e'~-eN\%^ZycXۄ3⹚y7$Q} @>Ԫ}bk5"um>Axy-A k;l"_UǙNӖ %ĉ{$b-6H> _(D;Aѵ摛|[qPaGz+Rs  dŅTՉdjDfr7u yz2 q:j.rRF#u9R#""Q0J/4PdUe#8"!.: qw +ACou5`}E`8Z#r=k EH{䙥^Y9^洤M|lIZ⭎>k+/AB"Gtʀˌb\ed j).Bj2X>E댣ۊhu.فwДӎqtnAP"Q4B2HeTp2N2xpsjl:!M6anVT1Hg34~#Z B W)IB0 \bMԣ7k(3d|!• TT b6("&&& dbj kHx9I ;r6Z>qNKysPg8r:Anmi< qH<7zG#q% 3v;Dj3T 1<].|J9D?LRou0ٰ^ a}n2^ㆤ8rQʋ>1sC̔:ix-f>\s: CvH}aq$#ThnҮh-:Ъ`kby&.mc /Xgjc!B}%탗6saNֶ5fYzFBFT}e*,B xgc9  ڳh#wS5I\Hyݥ8!Ȣo>Gi5"47';L/:B6Νk=Xy#ZOݣ_i-x*^El 3xdmgtБQduDvRzvS祎+'HvE6XMZ}l_:T2a=Oz }3Q"ʽ ac!}ΐ- " %.0^ΑXmo"HeT#hg6_DUCpO:b#܊m۵MZʴi3 ɔȀPRj-Qy,y6=dCI;yUt M;'? >mOr-ӎ4yt%7Z@ƅbjo'A8O0ao A?&6vcpœp_nDaGLC<`!XyRDyHʪv|&P`j1jzМ"BXSD-]a! ޛS]`#g'"23`- qd^eÃB,3Q7H'1Eu+YF6*q#ɕ[![Q Ы TS3@:SMjw6I}۰ +ɟn˗j~ػ_>߫ݪ~thz $bh?Ol%
    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1