Ramani ya Fasihi: Fasihi Simulizi na Fasihi Andishi
()
About this ebook
Ramani ya Fasihi ni kitabu ambacho kimeshughulikia mambo yote kuhusu fasihi simulizi na fasihi andishi. Kimepambanua vipera vya fasihi simulizi na fasihi andishi kwa mapana na marefu.
Related to Ramani ya Fasihi
Related ebooks
Ramani ya Kiswahili Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsManeno na Aina za Maneno Rating: 5 out of 5 stars5/5Mwongozo wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyinginge Rating: 5 out of 5 stars5/5Darubinii ya Sarufi Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMachozi Yamenishiya Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsTungo Zetu: Msingi wa Mashairi na Tungo Nyinginezo Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKale ya Washairi wa Pemba: Kamange na Sarahani Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMmeza Fupa Rating: 0 out of 5 stars0 ratings
Related categories
Reviews for Ramani ya Fasihi
0 ratings0 reviews
Book preview
Ramani ya Fasihi - Kelvin Munene
Copyright
Ramani Ya Fasihi: Fasihi Andishi, Fasihi Simulizi na Ushairi
Published by Kelvin Munene
Email: kelvincreative3@gmail.com
Copyright © 2022 Kelvin Munene
All rights reserved. No part of this book may be published in any manner whatsoever, or stored in any information storage system, without the prior written consent of the author, except in the case of brief quotations with proper reference, embodied in critical articles and reviews.
Interior designs by Kelvin Munene: Copyright © 2022
Tabaruku
Kwa wasomi wote wa Kiswahili na fasihi kwa jumla.
Yaliyomo
Copyright
Tabaruku
Yaliyomo
FASIHI
Maana ya fasihi
Sifa za fasihi
Tanzu za fasihi
Umuhimu wa fasihi
Vipera vya tanzu za fasihi simulizi
1. Hadithi
2. Mazungumzo
3. Semi
4. Maigizo
5. Ngomezi
6. Nudhuma / ushairi
Vipera vya fasihi andishi
a. Riwaya
b. Tamthilia
c. Hadithi fupi
A. Fasihi simulizi
Maana ya fasihi simulizi
Sifa za fasihi simulizi
Umuhimu wa fasihi simulizi
Changamoto za fasihi simulizi
Zoezi la ziada
A. SEMI
i. METHALI
Dhima za methali katika jamii
Sifa bainifu za methali
Sifa za kisanaa katika methali
Zoezi la ziada
ii. MISEMO
Aina za misemo
Sifa za misemo
Dhima /umuhimu / kazi ya misemo katika jamii
Zoezi la ziada
iii. MAFUMBO
Sifa za mafumbo
Dhima/ majukumu/ umuhimu wa mafumbo katika jamii
Zoezi la ziada
iv. LAKABU
Sifa za lakabu
Umuhimu wa lakabu
Zoezi la ziada
v. MISIMU / SIMO
Sifa za misimu
Umuhimu/ matumizi ya misimu
Zoezi la ziada
vi. VITENDAWILI
Makundi /aina ya vitendawili
Umuhimu wa vitendawili
Zoezi la ziada
vii. NAHAU
Zoezi la ziada
viii. VITANZANDIMI
Umuhimu wa vitanzandimi
Zoezi la ziada
ix. CHEMSHA BONGO
Umuhimu wa chemsha bongo
Zoezi la ziada
x. TANAKALI ZA SAUTI
Sifa za tanakali za sauti
Miundo ya tanakali za sauti
Zoezi la ziada
j) HADITHI
Fomula ya utangulizi wa hadithi
i. NGANO
Sifa za ngano
Umuhimu/kazi/dhima/majukumu/matumizi ya mianzo katika ngano
Umuhimu wa miishio katika ngano
Umuhimu wa ngano
Sifa za fanani / mtambaji bora
Aina za ngano
Zoezi la ziada
ii. MIVIGA
Aina za miviga
Majukumu/ umuhimu wa miviga katika jamii
Hasara za miviga
Zoezi la ziada
iii. MIGHANI/ MIGANI/ VISAKALE
Sifa za mighani
Umuhimu wa mighani
Zoezi la ziada
iv. VISASILI
Umuhimu wa visasili
Zoezi la ziada
v. NGANO ZA WANYAMA (KHURAFA / HURAFA)
Zoezi la ziada
vi. HEKAYA (NGANO ZA AYARI)
Sifa za hekaya
Umuhimu wa hekaya
Zoezi la ziada
vii. NGANO ZA MAZIMWI (MAJITU)
Zoezi la ziada
viii. HADITHI ZA MITANZIKO
Zoezi la ziada
e) MAZUNGUMZO
i. ULUMBI
Sifa za ulumbi
Dhima za ulumbi
Sifa za mlumbi mwema
ii. SOGA / POROJO
Sifa za soga
Dhima / majukumu ya soga
iii. MALUMBANO YA UTANI
Sifa za malumbano ya utani
Dhima/umuhimu/majukumu ya malumbano ya utani
Mifano ya malumbano ya utani
iv. MAWAIDHA
Sifa za mawaidha
Umuhimu wa mawaidha
Muundo wa mawaidha
Zoezi la ziada
f) MAIGIZO
Dhima/ majukumu ya maigizo
Vipengele vinavyotambulisha maigizo
Sifa za mwigizaji bora
Mifano ya maigizo
Sifa za maigizo
Tanzu za maigizo
Zoezi la ziada
e) NGOMEZI
Sifa za ngomezi
Majukumu / dhima/ umuhimu wa ngomezi
Udhaifu wa ngomezi
Zoezi la ziada
f) NUDHUMA /USHAIRI
i. NYIMBO
Umuhimu wa nyimbo
Sifa za nyimbo
Aina za nyimbo
Zoezi la ziada
ii. MAGHANI
Aina za maghani
Maghani ya kawaida
Maghani simulizi
Majukumu ya maghani
Zoezi la ziada
iii. USHAIRI SIMULIZI
Sifa za ushairi simulizi
Aina za tungo za ushairi simulizi
Malengo ya ushairi simulizi
Zoezi la ziada
Utafiti katika fasihi simulizi
Awamu tatu zinazopitiwa wakati wa kukusanya data wakati wa utafiti
Njia za kukusanya data inayotarajiwa kutumiwa katika utafiti
Umuhimu / sababu za kukusanya data kuhusiana na fasihi simulizi
Njia za kuhifadhi data iliyokusanywa
Matatizo yanayokabili ukusanyaji wa data ya fasihi simulizi
Namna ya kuboresha ukusanyaji wa data katika fasihi simulizi
Umuhimu wa kufanya utafiti katika fasihi simulizi
Njia zinazotumiwa kuwasilisha data
Uchanganuzi (njia za kuchanganua data ili kuwasilisha maana au matokeo)
Manufaa ya utafiti katika fasihi simulizi
Njia za kisasa ambazo huendeleza fasihi simulizi
Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi
Tofauti baina ya fasihi simulizi na fasihi andishi
Maswali ya ziada
FASIHI ANDISHI
i. MASHAIRI / USHAIRI
Ushairi andishi
Maana ya ushairi
Mambo ya kuangazia kabla ya utunzi wa mashairi
Istilahi/misamiati/vipengele vinavyotambulisha mashairi
Nyanja / aina za maswali ya ushairi
Idhini /uhuru wa mtunzi wa mashairi
Mbinu/ namna / njia za kubananga au kuboronga lugha
Bahari za mashairi (aina)
Aina ya maswali ya ushairi
MASHAIRI HURU
Sifa za mashairi huru
Sababu za kuchipuka kwa ushairi huru
Zoezi la ziada
ii. RIWAYA
Sifa za riwaya
iii. TAMTHILIA
Sifa za tamthilia
Uchambuzi wa kazi ya fasihi
1) Ploti ya tamthilia
2) Migogoro
3) Aina za wahusika
a) Wahusika kutegemea mchango na nafasi zao
b) Aina za wahusika kwa msingi wa kubadilika au kutobadilika kwa mienendo, tabia na misimamo yao.
b) Wahusika kulingana na maadili
4) Dhamira
5) Maudhui
6) Tasnifu
iv. HADITHI FUPI
Sifa za hadithi fupi
Zoezi la ziada
TAMATHALI ZA USEMI
MBINU ZA KIMTINDO AU MBINU ZA KISANII
MBINU ZA LUGHA
MBINU ZA SANAA
FASIHI
Maana ya fasihi
Fasihi ni somo linalofungamana na tungo za kisanaa kama riwaya, tenzi, mashairi, tamthilia, tenzi, vitendawili, hadithi na ngano.
Fasihi imegawanyika katika aina mbili kuu: fasihi andishi na fasihi simulizi. Fasihi andishi ni aina ya fasihi inayowasilishwa kwa njia ya maandishi. Fasihi simulizi ni fasihi ambayo huwasilishwa kwa njia ya masimulizi au mdomo. Fasihi andishi huwa na vitanzu kama vile riwaya, tamthilia na hadithi fupi ilhali fasihi simulizi huwa na vitanzu kama vile mazungumzo, hadithi,semi, maigizo,ngomezi na nudhuma. Hata hivyo, hadithi hupatikana katika fasihi