Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Sio Kile Nilichotarajia
Sio Kile Nilichotarajia
Sio Kile Nilichotarajia
Ebook50 pages37 minutes

Sio Kile Nilichotarajia

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Kama tukiwa wakweli kabisa, tutakiri kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia. Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaka kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango.

Taifa la Israeli pi walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kotoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu ya kile Mungu atakachowafanyia. Kutoka 16:3 ina mambo mengi ya kutuambia kuhusu matarijio ya Waisraeli no Imani juu ya Mungu.

LanguageKiswahili
Release dateNov 8, 2017
ISBN9781370608317
Sio Kile Nilichotarajia
Author

F. Wayne Mac Leod

F. Wayne Mac Leod was born in Sydney Mines, Nova Scotia, Canada and received his education at Ontario Bible College, University of Waterloo and Ontario Theological Seminary. He was ordained at Hespeler Baptist Church, Cambridge, Ontario in 1991. He and his wife, Diane served as missionaries with the Africa Evangelical Fellowship (now merged with SIM) on the islands of Mauritius and Reunion in the Indian Ocean from 1985-1993 where he was involved in church development and leadership training. He is presently involved in a writing ministry and is a member of Action International Ministries.

Related to Sio Kile Nilichotarajia

Related ebooks

Reviews for Sio Kile Nilichotarajia

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Sio Kile Nilichotarajia - F. Wayne Mac Leod

    Sio Kile Nilichotarajia

    Wakati Maisha Yasipobadilika Kama Ulivyotarajia Mafunzo Kutoka Kitabu Cha Kutoka 16:3

    F. Wayne Mac Leod

    Light To My Path Book Distribution, Sydney Mines, Nova Scotia, CANADA

    SIO KILE NILICHOTARAJIA

    Haki ya kunakiri ©2017 na F. Wayne Mac Leod

    Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu ya Kitabu hiki aweza kuzalishwa au kusambazwa kwa namna yoyote ile bila idhini ya mwandishi.

    Biblia takatifu, Toleo la English Standard Version {ESV}

    Toleo la ©2001 na Crossway, Wachapishaji wa Huduma ya uchapishaji wa Habari njema

    Haki zote zimehifadhiwa. Toleo la ESV,2007

    Shukrani maalum ziwaendee Diane Mac Leod kwa kuhariri kitabu hiki.

    Yaliyomo

    Utangulizi

    Sura ya 1 - Mazingira Ambamo Jambo Lilitokea

    Sura ya 2 - Maisha Sio Rahisi

    Sura ya 3 - Mwili Usioridhika

    Sura ya 4 - Makali Ya Uponyaji

    Sura ya 5 - Watu Katika Maisha Yangu

    Sura ya 6 - Imani Kwenye Malengo Ya Mungu

    Sura ya 7 - Hitimisho No Matumizi

    Utangulizi

    Kama sisi wenyewe tumekuwa waaminifu, maisha daima hayakuweza kubadilika kama tulivyotarajia. Kama vijana tuliyafikiria maisha kwa tamaa na mahaba makubwa. Simulizi la kawaida ambalo lingekuwa maisha yetu, Hata hivyo, hii iligubikwa na hali halisi. Maisha yana njia zinazotuleta sisi kwa kutushtukiza na kubadilisha mwelekeo juu yetu.

    Taifa la israel pia lilikuwa na wazo la namna ambavyo uhuru wao ungekuwa kutokana na kifungo chao cha utumwa kutoka nchi ya Misri. Walikuwa na mawazo yao kuhusiana na Mungu atafanya nini juu yao. Badala yake waliishia katika uovu na kutangatanga bila ya kujua mlo wao unaofuata ungetoka wapi. Walikabiliana na yasiyotabirika, matatizo na kukatishwa tamaa. Haya mambo si yale waliyokuwa wameyategemea. Hili lilikuwa si lengo lao la uhuru.

    Kutoka 16:3 ni mstari rahisi ambao unayo mengi ya kutuambia kuhusiana na tabia ya Wana wa Israel kwa Mungu na msimamo wao. Nje ya hili, hata hivyo, Kuna fundisho la nguvu sana kwetu kwa kadri tunavyokabiliana na kukatishwa tama katika safari ya maisha. Mstari huu unatupatia sisi changamoto kumuamini Mungu ambaye hutuongoza sisi hatua kwa hatua kupitia mabonde haya.

    Nimekuwa nikibarikiwa kwa kadri nilivyoongozwa na Bwana kuandika kuhusiana na mstari huu. Ninamshukuru sana Bwana kwa kuniongoza kwenye aya hii ya maandiko na kunipa macho ya kuuona ukweli wakati nikitapatapa kama kipofu kwenye mradi huu. Amini kuwa mstari huu utakufungua na wewe kwa njia ambayo itakubariki na kukutia moyo katika nyakati ambazo maisha yako yamekuwa hayageuki kwa namna usiyotegemea.

    Mungu Akubariki,

    F. Wayne Mac Leod

    Sura ya 1 - Mazingira Ambamo Jambo Lilitokea

    V:2 Na mkutano mzima wa wana wa Israel ukawanung’unikia Musa na Haruni katika uovu wao, V:3 Wana wa Israel wakamwambia, laiti tungelikufa kwa mkono wa BWANA ka tika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria za nyama, tulipokula vyakula hata kushiba kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote {Kutoka 16}

    Kwa ajili ya kujifunza, ningekutaka uweze kuangalia katika mistari hii miwili ya maandiko. Na hasa, Uweze kuangalia tabia za wana wa Israel kumwelekea Mungu na vipaumbele vyao katika maisha, Kwa kuwa mkweli, Wakati Mungu aliponiongoza kwenye aya hii sikuwa nimejua ni nini ambacho Mungu alitaka

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1