Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake
By John Ambuli
()
About this ebook
Wataalam wa lugha hii wamekua wakitushauri kwamba lugha haijitoshelezi kwa maneno .Yaani haina maneno yake maalum.Lugha hii ilisanya maneno kutoka lugha mbali mbali ndipo ikaweza kutambulika.Sasa,mbona Waswahili wasijitungie lugha wenyewe ili ipate kujitoseleza.Ndio yaliyomo kwenye kitabu hiki.
John Ambuli
I am a writer from kenya.I write in English and kiswahili and do translating services for both languages.
Related to Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake
Related ebooks
Ramani ya Kiswahili Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsTungo Zetu: Msingi wa Mashairi na Tungo Nyinginezo Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsKielezo cha Fasili Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsJuma Kilaza Nguli wa Muziki Toka Mji Wenye Sifa ya Mpira na Muziki Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsManeno na Aina za Maneno Rating: 5 out of 5 stars5/5Kale ya Washairi wa Pemba: Kamange na Sarahani Rating: 0 out of 5 stars0 ratingsMiaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya Rating: 0 out of 5 stars0 ratings
Related categories
Reviews for Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake
0 ratings0 reviews
Book preview
Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno Yenye Asili Ya Kibantu Peke Yake - John Ambuli
Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Maneno yenya Asili Ya Kibantu Peke Yake
Na John Ambuli
Smashwords Edition
All rights Remain with the Author
Yaliyomo
1. Asili Ya Lugha Ya Kiswahili
2. Kukua Kwa Lugha Ya Kiswahili
3. Lugha Ya Kiswahili Iwe Na Asili ya Kiafrika Ili Ijitosheleze
4. Waswahili Watakua Na Mitindo Yao Ya Maisha Na Ya Kufanya Mambo Yote
5. Kuwatumia Wabantu Vijijini Ili Kuipa Lugha
Asili Inayo Hitajika
Asili Ya Lugha Ya Kiswahili
Kulingana na historia ya lugha ya Kiswahili na kukua kwake, Lugha hii haikuweko huko ulimwengu ulikoanzia, lugha ya Kiswahili ilibuniwa tu baada ya waarabu walio kuja kwenya pwani ya Afrika ya mashariki kukutana na Waafrika wenyeji pale kwenye ufuo wa bahari.
Sio waarabu peke yao walio tembelea pwani ya Afrika ya mashariki wakati huo, kulikuweko na wazungu pamoja na wahindi, ijapokua walifika huko wakati tofauti.
Lugha ya Kiswahili, kulingana na historia ya lugha hii, ilifumbuliwa tu baada ya waafrika wenye kutumia lugha za kibantu kukutana na waarabu halafu kuka tokea yale matatizo