KUHUSU MWANDISHI
Anthony Marwa Mwita (PhD) pia ni mwandishi wa kitabu Mbaraka Mwinshehe Mwaruka soloist national na rumba la Kitanzania. Kutokana na mapenzi yake ya muziki amefu...view moreKUHUSU MWANDISHI
Anthony Marwa Mwita (PhD) pia ni mwandishi wa kitabu Mbaraka Mwinshehe Mwaruka soloist national na rumba la Kitanzania. Kutokana na mapenzi yake ya muziki amefungua studio za kurekodi muziki KC Records mjini Dar es salaam na kutumia fursa hiyo kuzirekodi tena baadhi ya nyimbo za nguli Juma Kilaza na Mbaraka Mwinshehe. Tayari nyimbo kadhaa za nguli hawa Semeni, Asha, Zena na Morogoro hoyee za Juma Kilaza na Shida, Morogoro yapendeza, Esta na Soniasa za Mbaraka Mwinshehe zimekwisha rekodiwa. Baadhi ya wanamuziki walioshiriki kurekodi nyimbo hizo ni wanamuziki wa zamani wa bendi hizo na watoto wa nguli hao Maneno Juma Kilaza na Muhtaji Mbaraka Mwinshehe.view less