Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet
Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet
Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet
Ebook78 pages1 hour

Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Matapeli hao huwanyemelea watu wasiowatarjia kwenye tuvuti kama Facebook au twitter ama badoo na kuwa shawishi wasafiri hadi huko nchini kwao halafu waka waweka kama mateka na wakadai kulipwa pesa nyingi mno kabla ya kuwa wacha warudi makwao.

LanguageKiswahili
PublisherJohn Ambuli
Release dateAug 25, 2012
ISBN9781476098562
Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet
Author

John Ambuli

I am a writer from kenya.I write in English and kiswahili and do translating services for both languages.

Related to Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet

Related ebooks

Related categories

Reviews for Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Matapeli Kwenye Mtandao Wa Intanet - John Ambuli

    MATAPELI KWENYE MTANDAO

    NA JOHN AMBULI

    All Copyrights of These Works Reserved By the Author

    John Ambuli

    Smashwords Edition

    SEHEMU YA KWANZA

    Bwana Msakhulu alilkua amehangaika sana katika shughulika zake za kila siku za kujitafutia riziki .Kila sehemu ambayo aliijaribia biashara yake alikua akitkutana tu na mabaya .Kama sio bei mbvu kule sokoni, ilikua ni sababu za kisiasa au za hali ya anga na mengine ya aina hiyo.

    Bwana  alikua mtu aliyekua na elimu yake ya kutosha ya biashara kutoka kwenye chuo kikuu na alijua sana yale yote ambayo alikua akijaribu kuyafanya .Kwanza mikasa ilianza wakati ambapo kampuni ile ya kunua mashamba pamoja na nyumba halafu ikawa uzia wanachama wake ilipo filisika ghafla bila hata kujulikana kilicho sababisha .Yeye aliku mtu mwenye uwezo wa kiasi cha kadiri kiuchumi Kwa hivyo alikua na uwezo wa kujifanyia mwenyewe biashara ya hisa kwenye soko la hisa la Nairobi .Lakini kampuni hii ya kuwanunulia wanachama wake mashamba na majumba makubwa makubwa ya kisasa ilipo jifichua, yeye aliyabadilisha mwazo yake .

    Yeye,kama vile mawazo yake pamoja na hisia zake kama vile zilivyo mwabia ,aliona kama hiyo ilikuya ni nafasi nzuri ya kujaribia biashara ya aina hiyo .Aliona kwamba kwa sababu kampuni ile ilikua na makao yake makuu pale mjini alimo ishi angeweza kuwa na uwezo mkubwa wa kuwashawishi viongozi wa ile kampuni wakati ambapo mambo yangeonekana kwenda mrama .

    Yeye ,hisia zake zilimwambia kwamba angeweza kwenda hadi mle kwenye kampuni ,halafu akawa na sehemu kubwa ya hisa za kampuni ile halafu ,labda angeitumia nafasi ile kupenya na kuingia kwenye vyeo vya juu vya kampuni ile halafu ,labda angeweza kujitekelezea mahitaji yake yeye mwenyewe.Kwa sababu yeye alikua na uwezo wa juu kidogo kuwaliko wanachama wenzake, alinuia  kuitumia nafasi ile na uwezo ule kuwa endesha wenzake ili wawe wakitii na kuyatekelza yale ambayo yange mafaaa yeye kuliko kama vile ambavyo angelikua aking’a ng’a nia biashara kwenye soko la hisa la huko Nairobi  pamoja na wataalamu wenzake ambao ilikua ni vigumu mno kuwa pumbaza na kuwaibia au hata kuwanyanyasa  kwa sababu wao walikua na fahamu kubwa ya biashara ya hisa  sawa naye.

    Yeye alipo watazama wale wanachama wa kampuni ile ,hakuona kama kulikuwako na watu wenye ujuzi wakutosha wakuweza kufahamu mabo yaliyohusu biashara ya aina ile.Wengi wa wanachama wale walikua ni watu wa kutoka mtaani .Walikua ni watu wa kutoka  kwenye mitaa ya hali ya chini mno ya maisha kwenye mji ule .Kwa hivyo ,yeye alidhania kwamba angeyapata yale aliyoyahitaji kwa uraisi mno.Alidhania kwamba angeweza kuwashawishi kwa uraisi mno ili wao wampe yaler ambayo aliyoyahitaji.Alinuia kuwadanganya wanachama wenzake na waanzilishi wa kampuni ile kwa kuutumia utajiri wake hadi wawe wa kuweza kumwabudu yeye na kuyatenda mapenzi yake.

    Kwa kiasi kidogo ,mawazo yale yangekua ya kweli ikiwa mipango yake yote na manuio yake yoote yange faulu .Ikiwa angeweza kufaulu kuzimiliki hisa za kampuni ile kiasi kamma asili mia sabiini au themanini au hata tisaini hivi ,basi yeye amgeliku mnufaaika mkuu au mpoteza mkuu iwapo kampuni ile haingelifanya vyema kibiashara .Kwa hivyo ,hayo ndio yaliyo kua mawazo yake makuu .Alinuia kuchukua kiasia kikubwa cha hisa halafu mapato yote ya kampuni ile yangelikua yake .hivyo au hata kama ingeliwezekana ,angeimiliki kampuni ile yeye peke yake 

    Wakati mwingine alishangaa ni kwanini yeye mwenyewe haku weza kuwaza kabla ya wenye kampuni ile kwenda kule mjini mwao na kuwa tawi la kampuni ile mle ?Hakuwa na lingine la kufanya isipokuwa kuelewana na wenye kampuni ile na kushirikiana nao ili angalau yeye naye aje achuniwe sehemu ndogo ya mapato ya kampuni ile.Alikua amechelewa mno ,na mawazo yale hayangenfaa kwa njia yoyote kwa wakati ule kwani wao walikua wamekwisha kumtangulia .

    Bwana msakhulu alikua na mawazo na mipango kem kem kichwani .Lakini hali haikutokea kama vile alivyo kua akitarajia ,kwani wale amabao aliwadhania kuwa hafifu mawazoni ,wale ambao alidhania kwamba wange mwabudu kwa kukosa elimu ,wale ambao waliishi kwenye mittaa ya mabanda ya mji ule ,walitokea kuwa watu werevu mno kuliko vile alivyo watarajia yeye na hisia zake.Walitokea kuwa watu ambao hangeweza kuwanyanyasa kwa uraisi vile na walikata kata kata kumwagia mali zao kama vile alivyo tarajia .

    KIla alipotoa maoni kuhusu shughuli za kampuni ,watu walimshuku na kumwangalia kwa macho yaliyo kaa kombo ,akashtuka na kuogopa kwani mbinu zao wale matapeli wa sehemu zile za biahara za aina zile ,wallijulikana sana kule nchini kwote .Habari zilikua zimeenea kuwahusu jinzi walivyo wanyanyasa watu ,hasa wale waliokua na elimu ndogo,halafu wakapotea na pesa zao .Kwa hivyo kila mtu aliwajua na hakuna aliye kua tayari kushirikiana na Bwana Msakhulu .

    Kwa hivyo ,jinzi hiyo ,alii poteza nafasi zote za kuzitimiza zile ndoto zake na akawa anabakia tu ,na nafasi moja ya kununua hisa nyingi kuwaliko wale wenzake wote.Ni hivyo alivyo fanya na akapata tu heshima kutoka kwa wenye kampuni ile kwa kuwa na asili mia tisini na tano ya hisa za kampuni ile.Alikua ameimiliki kampuni ile tayari lakini kwa sababu ya sifa mbaya ya biashara aina ile huko nchini Kenya ,watu walimwogopea mabali ,halafu wakanunua tu hisa chache tu za kujaribia ili wakagundue kama kampuni ni ya ukweli ama laa .Kwa hivyo yeye alibakia kama mwenye hisa nyingi kwenye kampuni kuwaliko wengine wote ,amabapo ,kama kampuni ile ingefaulu kuyatekeleza yale yote amabyo walinuia kuyatekeleza ,yeye angelitajirika mara tatu zaidi vile wale waliobakia kwenye soko la hisa la Nairobi wangelitajirika .Mashamba na majumba amabyo wangeliwajengea wenye hisa wao ,mengi ,yangemwendea yeye .

    Basi alizidi kupewa heshima na wakazi

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1