Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Nsungi 2: NSUNGI, #2.1
Nsungi 2: NSUNGI, #2.2
Nsungi: NSUNGI, #1
Ebook series4 titles

NSUNGI

Rating: 0 out of 5 stars

()

About this series

    Baada ya kuionesha rangi yake halisi kwa Lucy, napo anaishia kumwambia hakumpenda zaidi ya kupenda maslahi ya Mutwe pekee. Miko anawaachia vijana wakienda kumfungia, akiona amepata kumbe amepatikana. Hakujua kinachoendelea.

 

LanguageKiswahili
PublisherMambosasa
Release dateFeb 10, 2024
Nsungi 2: NSUNGI, #2.1
Nsungi 2: NSUNGI, #2.2
Nsungi: NSUNGI, #1

Titles in the series (4)

  • Nsungi: NSUNGI, #1

    1

    Nsungi: NSUNGI, #1
    Nsungi: NSUNGI, #1

    Hatima ya dunia nzima ipo chini ya binti wa shule ya sekondari, mwenye nasaba hatari sana iliyoandaliwa kwa ajili ya uangamizaji ulimwengu mzima. Kukataa kwake kuhusika na harakati hizo ndiyo pona ya kila mmoja. Msimamo wake wa kutotaka kuongoza jamii isiyofaa, unahitajika hasa.     Bado jamii ile chini ya kiongozi wao haitaki kuona mwenye nasaba ya malkia wao, anakuja kuacha kuongoza wao na kuuweka ulimwengu chini yao. Wanaamua kila njia ya kufanikisha mpango wao, napo wasiyotaka hila wanapambana vya kutosha wakimchomoa binti asichukuliwe kwenda kwao. Matokeo ni kuviziana kusipoisha, kulipoanza karne iliyopita.

  • Nsungi 2: NSUNGI, #2.1

    2

    Nsungi 2: NSUNGI, #2.1
    Nsungi 2: NSUNGI, #2.1

        Lifa hajakata tamaa, baada ya kushindwa mpango wake zaidi ya mara moja, kisa uwepo wa Salmin Zultash. Anarejea kwa mara nyingine, akiwa na mpango kabambe, uliyotokana na agano la zama lililofungwa miaka mingi sana iliyopita.    Historia ya kizazi kilichoingia agano hilo, inafunguliwa kwa upana. Viumbe hao wakiwa na ukinzani na wengine waliyotokana na agano. Maisha ya zamani yaliyojaa uhasama na ukatili wa kila namna. Mauaji yakitendeka kwa kasi kubwa pale maadui wawili wakutanapo.    Napo enzi hizo kukawa na siri ambayo ilizikwa mbali sana, wenyewe waliizika waliingia agano la kufuta kumbukumbu zao wasiikumbuke kusudi kuilinda wakiamini ni tumaini lao la baadaye. Inafikishwa kwa mtu mmoja, ambaye hajulikani ndiyo ailinde. Hilo ni agano jingine, lililopelekea mauaji makubwa kwa aliyeijua siri ile.

  • Nsungi 2: NSUNGI, #2.2

    2

    Nsungi 2: NSUNGI, #2.2
    Nsungi 2: NSUNGI, #2.2

       Inaendelea ilipoishia kitabu cha kwanza, Hawa anawasili chuoni akiwa kama mwanafunzi mpya. Dhumuni kuu linakuwa ni kuendeleza harakati zao zilezile, bado hajataka tamaa kama alivyo Mkuu wake. Mbinu mpya wamekuja nayo hapo chuoni.     Lucy naye ananogewa na penzi la Miko, asijue hana weka mwake. Anafikia kugombanishwa na marafiki zake baada ya kuambiwa uongo. Mzozo huo unapelekea binti ajitenge na wenzake, akiwatuhumu ni wanafiki. Asijue kama alifanyiwa vile baada ya kundi la kijana yule kubaini uwezo wa Maria.     Hawa anatumwa na Lifa kwenda kumshawishi Lucy aje upande wao baada ya kuona hali ni hiyo ameshagombana na wenzake. Waliona ni wasa mzuri sana wa kukamilisha harakati zao. Binti naye anakubaliana na hila zao, na kuishia kuwapa masharti kutimiza suala hilo.     Mwishowe Lucy anakuja kuijua rangi halisi ya Miko, wakati huo ameshachelewa sana.

  • Nsungi 2: NSUNGI, #2.3

    2

    Nsungi 2: NSUNGI, #2.3
    Nsungi 2: NSUNGI, #2.3

        Baada ya kuionesha rangi yake halisi kwa Lucy, napo anaishia kumwambia hakumpenda zaidi ya kupenda maslahi ya Mutwe pekee. Miko anawaachia vijana wakienda kumfungia, akiona amepata kumbe amepatikana. Hakujua kinachoendelea.  

Author

Mambosasa

  Hassan  Mambosasa born in Tanga region in Tanzania. He  won Nyabola kiswahili for short stories in 2022. Currently he live in Tanga city.

Read more from Mambosasa

Related to NSUNGI

Related categories

Reviews for NSUNGI

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words