Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Audiobook22 minutes

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Written by Andrea Hansen

Narrated by Saida Maina

Rating: 5 out of 5 stars

5/5

()

About this audiobook

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Mashavu yangu yakabubujika, na kama vile ninataka kujipoteza mwenyewe kwenye shughuli yangu, ghafla akasimama. Akaangalia moja kwa moja kwangu kutoka upande mwingine wa bwawa. Mkono wangu uliganda katikati ya miguu yangu. Je, aliona kile nilichokuwa nakifanya? " Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.Andrea Hansen huandika hadithi fupi za mapenzi na ni mwandishi mwenza wa mkusanyiko wa hadithi fupi wa Denmark "Udsøgt".
LanguageKiswahili
PublisherSAGA Egmont
Release dateJun 27, 2019
ISBN9788726270914
Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related to Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related audiobooks

Reviews for Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 5 out of 5 stars
5/5

1 rating0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words