Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Audiobook45 minutes

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Written by Sarah Skov

Narrated by Saida Maina

Rating: 0 out of 5 stars

()

About this audiobook

"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye ramba-ramba. Nikamgeukia na kumuangalia usoni, na kukiweka kidole changu mdomoni mwangu. Nikaufumbua kidogo na kuangalia jinsi macho yake yanavyoitazama ramba-ramba. Nikaufumba midomo yangu kukizunguka kidole changu na kisha kukinyonya kwa sauti kubwa."Kila usiku baada ya kazi Anne anakuja nyumbani kwenye jumba tupu, lakini hivyo ndivyo anaridhika zaidi. Anaangalia miondoko ya mpishi kijana mdogo anayevutia katika onyesho halisia alipendalo. Anajifunza jinsi anavyokanda unga na jinsi anavyopika chakula kwa umakini na uangalifu. Anawaza ikiwa angeweza kuonyesha kujali kulekule kwake. Anawaza jinsi vidole vya mwanaume huyo vikiwa ndani ya chupi yake. Siku moja atakapopata nafasi ya kukutana naye ana kwa ana atafanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake kumtongoza...Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.Sara Skovi ni jina bandia la mwandishi mdogo mwanamke. Pia ameandika hadithi fupi za mapenzi Shauku ya Owen Grey, Mapenzi ya kwenye Gari, Kumbukumbu zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanaume.
LanguageKiswahili
PublisherSAGA Egmont
Release dateJun 27, 2019
ISBN9788726270938
Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related to Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Related audiobooks

Reviews for Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words