Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya
Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya
Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya
Audiobook1 hour

Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya

Rating: 0 out of 5 stars

()

About this audiobook

Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa ni Patrick Asp aliyeua mtoto mdogo alikuwa amehukumiwa kufungwa jela. Baba yake wakili huyu wa utetezi ambaye alikuwa jaji wa mahakama ya juu ametoweka na hajapatikana alipo. Anne yupo kwenye jela ili kumhoji askari jela kuhusiana na mfungwa aliyefariki kutokana na kunywa dawa kupita kiasi, wakati Patrick Asp kwa usiri anaweza kumpa barua. Patrick Asp ameandika kuwa alifungwa kimakosa na kuwa mke wake alihusika katika kufanya hivi. Anne anamtafuta mwanamke huyu kwenye mkahawa anaoufanyia kazi. Pia anakutana na mwana wa mwanamke huyu, ndiye Bertram, na Anne anahisi kwamba wawili hawa wanaficha jambo. Kuna jambo lenye shauku kuhusu Uwe Finch pia, mwanamume ambaye mamake Bertam ana uhusiano naye. Anaonekana kama anayeficha kujitambua kwa hakika, na Anne anawasiliana na Roland Benito ili kutafuta msaada wake katika kutambua mwanamume huyu anaweza kuwa ni nani haswa.The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu ”Dukkebarnet” katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni “Drab efter begæring” (2009), “Slangers gift” (2014), “Dommer og bøddel” (2015) na “Blodregn” (2016).
LanguageKiswahili
PublisherSAGA Egmont
Release dateJun 27, 2019
ISBN9788726270860

Related to Mnadhifishaji Tukio la 4

Related audiobooks

Related categories

Reviews for Mnadhifishaji Tukio la 4

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words