Loading
KC
author
Karang'ae Chege
Karang'ae Chege amekuwa mwandishi wa vitabu kwa zaidi ya mwongo mmoja. Awali alifahamika kwa mashairi yake katika idhaa ya taifa na gazeti la Taifa Leo. Alipata kufahamika zaidi ka...view moreKarang'ae Chege amekuwa mwandishi wa vitabu kwa zaidi ya mwongo mmoja. Awali alifahamika kwa mashairi yake katika idhaa ya taifa na gazeti la Taifa Leo. Alipata kufahamika zaidi katika michezo ya kuigiza katika Idhaa ya Taifa ya Sauti ya Kenya na Ukumbi wa Michezo wa Kenya, Nairobi. Tamthilia yake "Vita vya Panzi" ilishinda katika mashindano ya uandishi ya Okoth K'Obonyo na kuigizwa kwa muda mrefu na waigizaji mashuhuri wa enzi hizo. Vitabu vyake vya watoto, "The Battle For Nyika", "Lost in the Forest", "The Girl who Became a Monster", "Tausi na Majuto Katika Safari ya Mabwe", na "Tausi na Majuto Katika Kisa cha Gaidi Lii", ni mashuhuri sana kwao Kenya, Afrika Mashariki na pembe zote duniani.view less
Karang'ae Chege has no available titles yet.